Recent content by sivafj

  1. S

    Mbowe na Slaa watumia mradi wa magari ya M4C na pikipiki kufisadi ruzuku ya chama

    lete ushahidi wa hayo uyasemayo.hayo mambo ya ufisadi yamezoeleka huko ccm co kwa makamanda.wivu unakutesa.. m4c 4rever
  2. S

    Ajira za walimu 2011-2013

    Enyi viongozi wa ccm someni alama za nyakati.mnapoahidi mambo msiyoyaweza unategemea nn?mnajiangusha wenyewe kwa uongo..
  3. S

    Ndugai, Uheshimiwa si cheo kuanzia rais na watumishi wa serikali

    Tunakushukuru kwa darasa huru.natamani wabunge wote wapate ufafanuzi huu ili kuondoa utata usio wa lazima bungeni
  4. S

    Tamko la Shura ya Maimam iliyoitolewa ktk sala ya Ijumaa ya leo kupinga upotoshaji wa Waziri Mkuu

    kwa uwezo wa na ustadi wa kuunda maneno W/Mkuu yupo juu.ila sio MKWELI hata chembe.hili litawasumbua sana hawa watawala.
  5. S

    Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu: Gesi ya Mtwara - Pinda afanya Live Briefing Bungeni!

    hiyo mikataba ni ya siri kwa manufaa ya nani?hakika usiri huu ndio unaowakosesha imani watanzania kwa chama tawala
  6. S

    Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu: Gesi ya Mtwara - Pinda afanya Live Briefing Bungeni!

    Bila vurugu asingekwenda mtwara.akubali tu kwamba serikali inakuwa "sikivu"baada ya pressure kutoka kwa wananchi.
  7. S

    Hatimaye serikali yaamua kunyoosha mikono... Gesi sasa kubaki Mtwara!

    safi sana wanamtwara.hiyo ndio NGUVU YA UMMA TUNAYOITAKA.MMETUONESHA NJIA.Kuanzia sasa mwendo ni huohuo big up wanamtwar
  8. S

    Vurugu za Masasi: Upotoshaji wa vyombo vya habari, ukweli ni huu hapa...

    SAFI SANA WANAMASASI! kwa tukio la jana mmewafungua akili raia wengi.Kudai haki si lelemama inataka kujitoa kwa lolote.
  9. S

    Post za walimu wapya,je serikali imefilisika?

    kuwa na subira ndugu yangu.waliahidi zitatoka januari hii.najua ni ukata unaokusumbua ndo mana unaona zinachelewa.
  10. S

    Ajira za walimu za yeyuka

    Hivi kuna kigogo kushinda rais wa nchi??rais alishaahidi mara kadhaa kuwa ajira ni januari mwaka huu.hicho kimbelembele chako umekitoa wapi?? kwani mwezi wa kwanza umekwisha??:confused2:
  11. S

    Mkuu wa wilaya amuunga mkono kamanda G Lema

    Mambo mengine hayahitaji siasa wala protokali.ni kufanya maamuzi sahihi kwa wakati muafaka hayo mengine yafuate.kaza buti kamanda lema hapo ndo kwaanza safari inaanza tunasubiri kwa hamu mambo mengi mazito bungeni,,.,
  12. S

    Mangula unatia aibu ...hata wewe kweli umekuwa hivi?

    mzee mangula rudi nyumbani ukaendelee na kilimo cha nyanya.wakati wako wa kufanya siasa ulishapita.jiulize umefanya nn kule kanda ya ziwa?AIBU KUBWA KWA MZEE KAMA WW KUWA NA MIKAKATI ISIYO NA TIJA KWA CHAMA CHAKO NA KWA TAIFA LAKO:confused2:
  13. S

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    haya yote yanatoka wapi wakati huu?mara mfumo kristo,mara uamsho na sasa mambo ya machio.mbona hatukuwahi kuyasia kwa kiwango hiki siku za nyuma?SIO SIRI TENA SAKATA LA UDINI KWA SASA LIPO WAZI KULIKO WAKATI WOWOTE ULE.NA HAWA VIONGOZI WETU WANACHANGIA KUYAPA SURA MBAYA MAMBO HAYA.
  14. S

    Mwanza: Maandamano ya M4C yafunga barabara kuu

    mwendo ni huohuo makamanda hadi 2015.muwe na tahadhari huko Bukoba mzee Mangula yupo ukanda huohuo
  15. S

    Mrema asema CCM imekuwa ikila rasilimali za wananchi kwa mikono miwili bila haya wala aibu

    umesema kweli mzee lyatonga.huu ni wakati muafaka kwa serikali yetu kufanya kazi kwa matwakwa ya wananchi waliowaweka madarakani.haiwezekani hawa watawala kupanga na kuamua kila kitu pasipo kuwashirikisha wananchi ambao ndio wadau.WANANCHI TUAMKE!! SERIKALI NI WATUMISHI WETU.SISI KWA UMOJA WETU...
Back
Top Bottom