Recent content by sisya

  1. sisya

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini tufungulieni cadestre map tuweze kuweka maombi yetu

    Serikali inadaiwa na Wasouth Africa mpaka walipe ndio wafungue tusubiri bajeti mwezi 7.
  2. sisya

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mzinga ondoeni walanguzi

    Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga. Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna. Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa...
  3. sisya

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Arusha tuondolee hawa Wezi

    Hiyo ni kweli kabisa kuna jamaa kavunjiwa kaibiwa computer na monitor na camera njia ya kuingia ziga,wamevunja kwa mama ngijo na maduka mawili eneo la msikitini Ccm hoyeee.Inajirudia enzi za Nkya akiwa mwenyekiti yeye na genge lake.
  4. sisya

    JamiiForums Tanzania Askari aliyekataa rushwa ya Tsh. 10 milioni Arusha akamatisha mwingine

    Anakula rushwa sana ila akihisi kuna takukuru anakataa.
  5. sisya

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

    Imemiminwa kutoka kwenye semoth waliokuja nayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. sisya

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

    Sio kabla wametumia tarehe ya nyuma waonekane walishamfukuza. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sisya

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

    Bora kangi lugola kulikoni huyu simbachawene,huyu anakashfa ya kumsumbua kangi lugola awasaidie wakenya waliojichukulia uraia kinyamela. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sisya

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Wily Gambia kezelahabi.
  9. sisya

    JamiiForums Tanzania Simbachawene avifutia mbali vibali vya wafanyabiashara wa vyuma chakavu

    Huyu simbachawene fala sana kuna wakenya wamejipa uaraia Watanzania na kudhulumu migodi ya Tanzanite ambao wanatumiwa na viongozi wa Kenya kutorosha madini yetu amewapeleka kwa waziri kangi lugola ili apindishe maamuzi ya uhamiaji.Kuna tetesi amepewa dollar 50 elfu awasaidie kikao vilianzia...
  10. sisya

    JamiiForums Tanzania Hongera Jerry Muro umeweza kilichowashinda watangulizi wako

    Hilo dampo kuna siku nimepita hapo na wageni lilikuwa linatoa moshi na harufu mbaya.Linatatia aibu mji wa kitali.
  11. sisya

    JamiiForums Tanzania TISS (Usalama wa Taifa) mkiona inafaa, anzieni hapa

    Wanawaza chadema na Act wazalendo.
  12. sisya

    JamiiForums Tanzania Abdallah Kitwara aliyemtorosha Rashidi Malima aliyekuwa mkurugenzi wa Pride anayetafutwa na TAKUKURU yuko Marekani

    Kuna gari lilitolewa dar liana fichwa arusha GX new model halina kadi namba za kubambika
  13. sisya

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Bunge limeazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad si ofisi ya CAG. Ripoti itasomwa endapo haijasainiwa na Prof. Assad

    Ndugai iko gonjwa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. sisya

    JamiiForums Tanzania Polisi Kilimanjaro wazidiwa nguvu na Wasafirishaji Mirungi

    Mirungu sio dawa za kulevya Tanzania tulidanganywa na mrema kwa kutaka misifa.Kenya wanasali kila siku Tanzania isiruhusiwe weendele kupiga hela. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom