Recent content by sisti kimaro

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyetuma barua yakuomba transfer kwenda chuo kingine kwa upande wa degree

    uliomba wapi ndg ambapo tayari wameshakujibu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyetuma barua yakuomba transfer kwenda chuo kingine kwa upande wa degree

    so tar 24/10 ndo anaanza masomo pale ARU au ndo anasubiri hadi TCU wamconfirm tarehe 18.11 ndipo aanze masomo????
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako wa kike anaposusa unamfanyeje?

    hapo umenena shunie
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni zipi taratibu za kubadili kozi chuoni?

    naomba msaada ndugu zangu wa jf, ukiwa unaenda kuhamia chuo flani kwa mujibu wa taratibu walizotoa TCU 2016-2017, mfano nimepangiwa SAUT-MWANZA kozi ya BAED alafu nataka nihamie ARDHI na pia nikahitaji kubadilisha kozi ambayo naitaka labda ni Economics na ninavigezo na hiyo kozi: SWALI LANGU...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukinywa konyagi na readbul unachelewa kufika kileleni?

    mmmmhh sio mbaya karibu tujaribishe
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukinywa konyagi na readbul unachelewa kufika kileleni?

    imebinafsishwa na nani mkubwa
  7. S

    JamiiForums Tanzania "You have been provisionally selected...." Ndio kazi ya TCU?

    asante ndg, kila lakheri na kwako pia.
  8. S

    JamiiForums Tanzania "You have been provisionally selected...." Ndio kazi ya TCU?

    ndio niliomba degree
  9. S

    JamiiForums Tanzania "You have been provisionally selected...." Ndio kazi ya TCU?

    asante ndg, nimefanikiwa tayari kucheki
  10. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa wa wale ambao wanahitaji transfer degree first year

    msaada kwa leo/ swali la mwisho kwa leo: inamaana haina haja ya kwenda/kuripoti chuo ambacho ulichochaguliwa awali kama hujaridhika nacho hapa namaanisha unaenda moja kwa moja chuo unachotaka kuhamia na hizo taarifa au vigezo walivyosema tcu????
  11. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa wa wale ambao wanahitaji transfer degree first year

    asante ndg zangu nimewaelewa xana
  12. S

    JamiiForums Tanzania "You have been provisionally selected...." Ndio kazi ya TCU?

    ndg hii link unaitumiaje maana mimi nimeshindwa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo(HESLB) wanaachilia lini Majina?

    kwa mfano mtu hakuomba mkopo kabisa kutokana na sababu mbalimbali binafsi, je akifika chuoni anaweza kuomba mkopo na ni atua gani ambazo atatakiwa azifanye ili aweze kuomba mkopo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa wa wale ambao wanahitaji transfer degree first year

    naomba kuuliza kwa mfano nimechaguliwa UDSM kutokana na ada yake kwa hiyo kozi niliyochaguliwa kuwa kubwa nikataka kwenda labda SAUT, natakiwa niandike barua kwenda SAUT pasipokuomba tcu au maana cjaelewa bado au nini natakiwa kufanya
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

    upo sahihi kabisa
Back
Top Bottom