Recent content by sisemi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    Usibabaike na uwingi wa washangiliaji.humo wapo watakaimpigia kidokozi,Jembe,vyama vingine na mahuruhani.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mpasuko Tume ya Taifa ya Uchaguzi vs Wakurugenzi

    acheni kuweweseka!mbona mnanunua nepi mtoto hajazaliwa?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"

    Bora uwaambie kaka,tatizo lao wana macho lakini hawaoni,wanamasikio lakini hawasikii,pia wana modomo hawasemi wakiogopa lawama.Tindu ni tatizo pale cdm.mambo yake mengi ni yakukurupuka, anajaribu kuwapaisha akina Mbowe na Silaa kwanjia zisizofaa.sikuzote akili ndogo haiwezi kuiongoza akili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni, turejee azimio la Arusha

    Hakika watanzania wenzangu tuamke kwa maslahi ya watanzania wenzetu hususani wale wasiojua kusoma na kuandika, watoto wadogo, wazee na wote wasio na mamlaka katika nchi. Hivi ni Nani aliyewaloga wasomi wetu? Hivi ni kweli nchi INA wasomi na wataalam? Leo napenda niongelee jambo moja tu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Tatizo ni kushabikia mambo bila kuwa na uhakika na unachoshabikia. walio wengi wanasababu za mapokeo,ukiwauliza wakupe sababu za msingi za kumwita Zito msaliti watakoti magazeti. Hata huyo lisu anajua hana hoja ndiyo maana anakimbilia press,uanachama hauvuliwi kwenye press,huyu mwanasheria...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"

    Kaka nirahisi kutamka neno "msaliti" yanini kuendelea kutoa kashfa zote hizo? Mimi nadhani nyote mnaoona kuwa Zito zuberi ni msaliti kama ambavyo mnaamini, mgejaribu kuueleza usaliti wake ili sisi nasi tuweze kuufaham, kwani hata katika maelezo yake angependa kufahamishwa juu ya usaliti...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kakobe awachana live Nape, Rose Mhando, Mangula, Mwakyembe na Makonda

    Kakobe acha majigambo.matokeo ya Nani kaokoka na Nani siyo ni ile siku ya ufufuo.watakao kuwa mkono wa kuume na wale watakao kuwamkono wa kushoto.hapo ndipo utakapo jijua mahali pako.kwa sasa tuendelee kuomba ili siku ya mwisho tushiriki pamoja na mwenyezi Mungu.Kakobe upo?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa barabarani

    Advise me to the right place!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa barabarani

    Awali ya yote napenda kuwapongeza watumishi wote wa wizara ujenzi wakiongozwa na mh Magufuli. Sina tatizo na utekelezaji wa majukumu yao, ila ninashindwa kujua ni utaratibu gani wanayotumia katika kutekeleza zoezi hili LA bomoa bomoa kwani inashangaza kuona maeneo kama Kibamba watu wanaendesha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe apewa tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii

    Big up boy!! Wao waseme wewe piga kazi.wananchi tunaona.nani mpiga.debe na nani mchapa kazi. Kinachowauma pale chamani wengi wao ni vilaza wenye sera za.ukaskazini.watasubiri sana!kaza buti kaka,sterling hauwawi mpaka sinema iishe.
  11. S

    JamiiForums Tanzania John Komba atishia kuingia msituni endapo wananchi wataamua Serikali tatu

    Mimi nadhani jambo lamsingi nikuwaambia watanganyika hoja zamsingi zinazoainisha manufaa ya watanganyika ndani ya muungano na hasara itakayojiri nje ya muungano. haipendezi kusikia kila uchao manufaa ya muungano au madhara ya muungano kwa nchi moja. ni ukweli kuwa Zanzibar...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    kaka unamatatizo yakupenda bilahatakujua kama nawewe wanakupenda!kimtazamo unaonesha wazi kuwa unaamini Mbowe na Silaa nikama manabii. kabla hujamkashifu mtu,tuambie mabo yamaana kabisa ambayo umewahi kufanya hapa duniani walau yathibitishe kuwa wewe siyo wale walioshikiwa akili?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    kama hata kanisa limemtema kunanini tena!huyo silaha hafai hata kidogo,kinachowapa presha nikuingia katika uchaguzi na zito akiwepo.
Back
Top Bottom