Recent content by sirmweli

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tuogope sana kuhusu AI yajayo haya furahishi hata kidogo

    Kwahiyo ndo umefafanua hapo?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuogope sana kuhusu AI yajayo haya furahishi hata kidogo

    UMECHANGANYIKIWA? FAFANUA HATARI YA AI HATA KAMA UMECHANGANYIKIWA
  3. S

    JamiiForums Tanzania Deni la marekani lafikia dollar trilion 37, wachunge sana marekani isije ikauzwa!

    Marekani inadai dollar ngapi? Je marekani anatoa dollar kwenye United Nations NGOs?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

    Hajabainisha hilo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

    Tumia njia uliyopatia hiyo Hela, utafanikiwa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Samia Suluhu akitawala muhula wa 2025 mpaka 2030

    Ngoja uitwe polisi, maana humtendei haki Rais wetu kwa kutotambua uheshimiwa wake na udaktari wake .
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Nikidai risiti ya EFD naambiwa bidhaa itapanda bei

    Akikupa risiti ya efd inabidi akutoze Kodi(V.A.T) ili akawape TRA Kodi Yako hiyo Yeye anakuwa wakala kati Yako mteja na TRA.
  8. S

    JamiiForums Tanzania KERO Nikidai risiti ya EFD naambiwa bidhaa itapanda bei

    Ukidai risiti jua kua unalipa V.A.T kwahiyo lazima bei iongezeke kwakuwa umeamua kulipa hiyo Kodi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa FX traders, mmeona dollar ilivyoanguka ghafla?

    Kila ijumaa ya kwanza ya mwezi husika.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Kwanini unawadhihaki viongozi wetu? Unajiona una akili kuliko viongozi wetu? Au unataka utiwe adabu na jeshi letu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi ya Kenya iliyofanya mabadiliko (reforms) kuliko nchi yoyote ukanda huu wananchi wake wanalalamika sana? Je, reforms tu zinatosha?

    Kwanini unaogopa reforms? Au wewe ndo fisadi kuu la Tanzania?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya Katiba Mpya huko Kenya lakini imeshindwa kuzuia mauaji, kukosa ajira na njaa. Watanzania mnajifunza nini?

    Ndio inaleta ajira ,inaleta haki sawa na uwajibikaji. Je asipohojiwa italeta ajira?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya Katiba Mpya huko Kenya lakini imeshindwa kuzuia mauaji, kukosa ajira na njaa. Watanzania mnajifunza nini?

    KATIBA ndo itaondoa ufisadi. Kwanini unaogopa KATIBA kama sio mwarobaini wa ufisadi? Pia kwanini unafurahia ufisadi?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya Katiba Mpya huko Kenya lakini imeshindwa kuzuia mauaji, kukosa ajira na njaa. Watanzania mnajifunza nini?

    Ww kichaa hukuona IGP wa Kenya akihojiwa na tume? Je IGP wa Tanzania anaweza hojiwa na tume? Hata hivyo Bado uchunguzi unaendelea huko Kenya na viongozi wote waliohusika watahukumiwa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya Katiba Mpya huko Kenya lakini imeshindwa kuzuia mauaji, kukosa ajira na njaa. Watanzania mnajifunza nini?

    Basi wewe ni kichaa ndo maana unatetea ufisadi na KATIBA mbovu huku ukitolea mfano china, Wakati unajua kabisa china hawana mchezo na mafisadi.
Back
Top Bottom