Recent content by sirmlimbo

  1. S

    DAR: Polisi walizuia Kongamano la chama cha ACT Wazalendo, Millenium Tower

    Anachokifanya Magu litaigharimu taifa letu
  2. S

    Ubora wa UDSM ni upi?

    Udsm siasa nyingi pasipo kutimiza wajibu wao kitaaluma
  3. S

    Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    Somehow for me huyu jamaa huwa namkubali kama siasa ataiweka pemboni zaidi akaamua kuwatumikia watanzania kwa dhati yake tunaweza kufanikiwa but let us wait.
  4. S

    Serikali yakana madai ya mitandaoni kuhusu ajira za walimu

    Hii serikali ya sasa haiaminiki kwakuwa MTU anafanya kaamuzi yake akiamka asubuhi pasipo kushirikisha stakeholders wengine kama vile CABINET.
  5. S

    NACTE yakifungia chuo cha Mbeya Polytechnic!

    Nasisi watanzania tunatakiwa tuamke na tuwe makini kwanini tunapenda slope aka kitonga. Vyuo vinavyotambulika na vilivyosajiliwa vinajulikana sasa kwanini tunajiunga na vyuo visivyo na sifa? Tuwe makini
  6. S

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Kila kitu wanapiga makofi hadi pumba wanajigeuza wao serikali badala ya kutimiza majukumu yao yakibunge kama ndiyo msingi wa kazi zao za kilasiku. Hatuna bunge kwasasa kwakuwa wote wamekuwa serikali.
  7. S

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Hawa wabunge wa ccm watatuua kwa umbulula wao bungeni
Back
Top Bottom