Recent content by Sirkweka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Gari la ndoto yako: Ni aina gani ungependa kumiliki?

    sasa wote mmepata kila mtu atalikuta kwa jirani yake nenda kwa jirani utalikuta
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naona hatari mbele, gari lipo mwendo wa kasi

    anachomaanisha ni kingine jitaidi kumwelewa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kulikoni timu za mpira toka Kaskazini(Arusha,Manyara na Kilimanjaro)

    Jamani kila mkoa useme unaingiza timu ligi kuu itakuwa na zaidi ya timu 20. na pia kila Kabila lina vipaumbele vyao wachaga wamejikita kwenye biashara hivyo utakavyopandisha timu yako wao wataingia tenda ya kukukodishia hoteli nzuri na kukuuzia chakula kizuri. pia sijawahi ona orodha ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Ndugu shukuru Mungu kwa kukupa mke anayetafuta yaliyo ya Mungu maana maandiko yanasema mke aweza kumwokoa mumewe na mume aweza kumwokoa mkewe maana kwa Mungu mnahesabika kuwa mwili mmoja uliounganishwa na kristo. Je angekuwa anaenda disco kulewe umalaya kipe kiko sahihi nawe unaonekana una shida...
Back
Top Bottom