Bado, kwa sababu ni tatizo endelevu Mfano jana nimeenda NBC tegeta wamezipokea elfu 90 kwa masharti kwamba nikipeleka siku nyingine pesa mbovu hawatazipokea kwa sababu BOT wanawahoji sana wao na pia wateja wanakaa kwenye folen muda mrefu.
Nilifika TCB Tegeta, Afisa msaidizi wa manager akasema wao wanaulizwa na BOT wanatoa wapi pesa mbovu wakati huo nimeenda na Tsh lak 9 wakapokea laki 3 tu.
Wadau, mimi ni wakala wa shughuli za M-Pesa na za kibenki, nimekuwa nikipata shida sana ninapopeleka pesa mbovu benki ambazo nimezipokea kutoka kwa wateja ambao wanakuja kupata huduma ofisini kwangu.
Watu wa benki wanasema pia wao wanahojiwa na BOT pesa mbovu wanazipata wapi? Wakati kiuhalisia...
Utangulizi:
Uwajibikaji ni msingi muhimu katika jamii yoyote iliyo na utendaji mzuri, ikilenga kuwafanya watu na taasisi kubeba jukumu la vitendo na maamuzi yao. Katika muktadha wa jamii na uongozi wa Kiafrika, uwajibikaji una jukumu muhimu katika kukuza utawala bora, kuimarisha imani, na...
Bodi ya Mkopo imefungua leo usiku maombi ya Mikopo kwa wanafunzi.
Fungua link hii kufanya applications. https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/pre_applicant/
Kwa wakazi wa Tegeta, Boko , Bunju, Bagamoyo wafike internet cafe iliyopo boko chama kwa mawasiliano tuandikie email...
Wadau Habari?
Msaada wa kujua vituo vya kufundishia Tuition vilivyopo Dar kwa ajili ya manafunzi wanaoingia kidato cha NNE au waliopo kidato cha nne.
Ninandugu hapa katoka kijijini na anatamani kujifunza masomo ya msingi kabla ya kurudi shule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.