Wakuu habari!!! Naomba mwenye uelewa wa hizi odds za under/over, kwenye sportpesa wanaweka 1.25, 1.50, 1.75 zinamaanisha nini!? Maana huku kwenye kampuni zingine unakuta tu ni 0.5, 1.5 nk
Well said!! Mimi pia ni mhanga wa hiyo inayoitwa DHANA YA NDOA. Je, kama mlifanya hiyo SOGEA TUKAE kisha mkatengana kwa zaidi ya miaka mitatu na mmojawapo akafunga ndoa ya Kikristo, yule aliyebaki ana haki zipi kisheria?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.