Kabla ya kuamua kupunguza uzito,
Wengi huchukizwa na muonekano wa sehemu za tumbo, mapaja na mikono. Hivyo ni rahisi zaidi kupunguza uzito kama utaondoa nyama zembe katika sehemu hizo.
Ili kuondoa nyama zembe unatakiwa kupunguza ulaji wa vyakula vya wanga na ngano (hasa zilizokobolewa)...

Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini
Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku.
Sumu au taka pia zinaweza kuingia mwilini kupitia dawa...
Dalili 10 za mvurugiko wa homoni kwa wanawake
UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONE
Hii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa rika zote. Vyanzo mara nyingi huwa ni mfumo wa ulaji pamoja na matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango. Dalili zake ni...
FAIDA 20 ZA KITUNGUU SWAUMU DHIDI YA MAGONJWA SUGU (CHRONIC DISEASE)
1. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
2. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I
3. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine
4. Huzuia kuhara damu (Dysentery)
5. Huondoa Gesi tumboni
6. Hutibu msokoto wa tumbo
7. Hutibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.