Recent content by sIR tEaChER only

  1. sIR tEaChER only

    Tuliowahi kuvuniwa mazao yetu shambani kimaajabu tukutane hapa tafadhali tutoe sumu

    Dah msimu huu tu nmeambulia patupu hekar 4 za ufuta nimerudia kupanda zaid ya mara 4 af mbegu nanunua mashamba nimekodi nalipa wafanyakaz ikabidi niache tu kwani mwishon walikuja panzi wadogo weusi wakala mche mche ndo mmea umeota tu, Ni maeneo ya Kabuku Tanga 😭.. badae nikahamia Singida kulima...
  2. sIR tEaChER only

    Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Kiongozi nimekuuliza uwezekano wa kupata fursa nje hujajibu posti na #121
  3. sIR tEaChER only

    Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Mkuu Kiranga Mimi nahitaji fursa hiyo Nina Taaluma ya Graphics Design, Videographer, photographer & media producer
  4. sIR tEaChER only

    SoC03 Kizungumkuti Wizara Michezo na utengaji bajeti ya ukarabati wa viwanja vya Michezo vinavyomilikiwa na chama

    KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
  5. sIR tEaChER only

    SoC03 Utata wa mkataba wa utoaji huduma ya umeme kati ya mteja na Tanesco

    UWAJIBISHWAJI WA SHIRIKA LA UMEME TANZANIA - TANESCO Bila shaka tunatambua na kuona jinsi shirika letu la Umeme Tanzania ambavyo limekuwa likiendelea kutanua wigo wake wa kutoa huduma na kuja na mpango wa kuwafikia wakazi/wananchi waishio vijijini katika mpango wake wa ugawaji wa nishati ya...
Back
Top Bottom