Recent content by SIR PJ

  1. S

    Katika Kutafuta Kazi

    Nimekuja kutambua kuwa katika kutafuta kazi, hatupaswi kutumia nguvu na ujanja ujanja bali, bali ni katika kumtumainia Mungu. Maana yeye ndo anayejua hatima yetu. Kwa maana nyingine kama kaz ipo ipo tu. Tumtumaini Mungu katika mambo yote. Nimemwamin amefanya kwangu. Nliwahi kutumia nguvu na...
  2. S

    Investigation Officer PCCB

    inawezekana. Ila nakumbuka walisema wanata freshers wenye degree/advance diploma. Na pia direct entrant from colleges. Sasa nahc direct entrant wa 2013 hawakuwa na transcrpt. Pia weng hawakwenda ku certfy vyet mahakaman. So hapo kuna mambo hayajakaa vzur. Cju we unaonaje hlo ndugu yngu.
  3. S

    Investigation Officer PCCB

    Jaman ni kwl chumba kinaweza kuwa kilijaa maombi,lakn je ni graduate wa 2013 kwl? Na kama ndyo je kwl wote walikuwa na matokeo? Afu pia chet cha darasa la 7. ? Kwa mantiki hyo kuna watu weng waliomba na hawakuwa na vgezo. Kwn tangazo lilitaka fresh graduate from school. So thnk of it!!!
  4. S

    Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

    Jaman nafac hizi za jwtz ,ztatoka lini kwa watu wa degree. Plz mwenye taarifa
  5. S

    NAOMBA KUFAHAMU EFC TANZANIA. Kama wameita watu kwa written interview

    Jaman wandugu naomba kufahamu kama Efc wameita watu kwa ajil ya written interview
Back
Top Bottom