Recent content by sir None

  1. sir None

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner kuwekeza katika sports betting tips

    Vema
  2. sir None

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mfalme Nimrod wa mnara wa Babeli

    Historia nzuri sana
  3. sir None

    JamiiForums Tanzania Insane coincidence: Futility and Titanic

    Duh
  4. sir None

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahahaha
  5. sir None

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni ushauri maana nahisi kukata tamaa zidi ya betting kila siku nachana mkeka mbaya zaidi nakosa tmu moja tu Kati ya tano. Na mbaya zaidi ile timu kubwa ndo zinaniangusha kwa mfano :hivi inaingia akilini kweli man u kufungwa na Brighton? Man city kutoa sare na hunderfield?
  6. sir None

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Ngoja niongee kwa kiinglishi kuonesha msisitizo DONT DARE kuinama hata kujikuna wala kujifanya una ujanja wa kutaka kumdhuru Kama huwezi fanikiwa kwa koboko(black mamba) ni nyoka yuko faster kulko nyoka yeyote unamjua au ulishawahi kumuona. DONT DARE YOU WONT SUCCESSED.
  7. sir None

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Kweli binaadamu tuko tofauti sana
  8. sir None

    JamiiForums Tanzania Kwanini wacheza betting wa humu JF hamna ushirikiano?

    Niliomba Masaada kwenye thread Kama mbili jinsi ya kupata pesa yangu kidogo kutoka mbet niliyoshinda watu wanapita na kuangalia tu kama nyanya chungu. Nilikuwa na mtaji wa shilingi 2000 sasa umekata na nahitaji hyo pesa lakn hakuna anayenisaidia. Basi acha nikae bola kubeti si ndo raha tenure.
  9. sir None

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mm naombeni Masada jinsi yakupata pesa yangu mbet kwani nimeshda na massage wamenitumia lakini pesa yangu bado hawajanitumia nifanyeje
  10. sir None

    JamiiForums Tanzania Msaada waungwana

    Mm ni mchezaji wa betting aina ya mbet kwenye simu sasa juzi nimeshinda kiasi kidogo cha pesa na kwenye wallet details inaonesha nimeshinda yaan paid winner lakini mpaka sasa sijaona hlo salio kwenye account yangu ya mpesa na nikipiga customer care haipokelewi naombeni mwenye kujua anijulishe...
  11. sir None

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanangu wa kike wa chekechea kaniuliza "tutakaa kwenye nyumba ya kupanga hadi lini"?

    Ahahaaaaaaa duh very genius
  12. sir None

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wanajamvi

    Naomba wakunisaidia kunipa uzoefu kuwa inatakiwa ufanye hivi au uweke tmu kadhaa na kiasi flani ndo utakuwa unawin
  13. sir None

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wanajamvi

    Nlikuwa nauliza ndugu yangu kwa kuwa ndo nmeanza na mm ila nakosa kila siku [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  14. sir None

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wanajamvi

    Nashukuru Sana je kiwango cha juu cha timu ngapi ndo kizur?
  15. sir None

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wanajamvi

    Hivi hzi betting za mpira mfano meridian na premier kuna watu huwa wanapata?
Back
Top Bottom