Recent content by sir.mohere

  1. sir.mohere

    Habari njema kwa Banker wenye CPB

    Biot act ya mwisho ni 2008 kumbe na wee unaongea hujui bado hyo act ya 2014 haijawekwa kwenye website ya biot ebu ulizia mfanyakazi yeyote wa biot anaip mim mwenyew nina hicho kitabu
  2. sir.mohere

    Habari njema kwa Banker wenye CPB

    Kwa sasa madam nadhani hii itaizid cpa maana imepewa hadhi kubwa zna
  3. sir.mohere

    Habari njema kwa Banker wenye CPB

    BOT ACT 2014 ambayo imetoka mwezi wa pili nmebahatika kuosoma leo ni kwamba kuanzia sasa mabenki yote yanapaswa kutambua hii mitihani ya kutoka TIOB kama NBAA inavotambua CPA hata hivo hyo itakuwa habar njema kwa wafanyakazi wa benk wenye hicho cheti mishahara itapangwa level ya hicho cheti...
  4. sir.mohere

    Kujiunga Tanzania Institute of Banker(CPB)

    Mbona watu mmezusia hyo taarifa jamani nisaidie mwenzenu jaman kma una uelewa hata ushaur ukinipa nao pia utanisaidia
  5. sir.mohere

    Kujiunga Tanzania Institute of Banker(CPB)

    Hi wanajamvi mi ni recent graduate kutoka ifm bachelor banking and finance nko kwenye harakati za kufanya mitihani hii ya cpb ila sjajua bado umuhimu wake maana hata kwenye matangazo ya kazi za kibenki hawaiweki tofauli ilivo kama cpa so kwa wale walio fuzu mitihani hii nipe angalau faida za...
  6. sir.mohere

    Employment Opportunities (Try Your Lucky)

    ok tmekupata knahuska na mambo gani
  7. sir.mohere

    Diamond Trust Bank - Officers Branch Banking

    wale huwa hwaiti hiv karibun hadi miez sita hiv mim nlituma mwaka jana.mwezi wa tisa wakaniita mwezi wa tatu mwaka ulofata so kma ulituma vuta subira bado xna ndugu labda september or october
  8. sir.mohere

    NMB lake zone

    Mwenye update NMB lake zone jamani vipi hawa watu washaita kweli naona mda umepita sasa tangu dead line ipite.
  9. sir.mohere

    Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

    Mrejesho.. nilipeleka taarifa wakaniambia ngoja wafanya uchunguzi wa intelegensia kwanza wabaini kweli je kuna madudu
  10. sir.mohere

    Interview Finca Bank

    sjawahi ona bank kma hyo nahisi.itakufa tu.washenzi.zna
  11. sir.mohere

    Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

    Wana jamvi naleta ushauri huu kwenu mimI binafsi napeleka mashitaka kwenye hii bank ya posta inapotosha umma huwezi amini kinachofanyika pale ni upotoshaji wa umma mfano wanatoa nafasi za kazi ovyo ovyo bila utaratibu maalumu ili mradi waonekane wanatangaza kazi. Mfano walitangaza nafasi za...
  12. sir.mohere

    Nafasi za kazi NMB Plc Lake Zone: CLOSING DATE: 23rd May, 2014

    leo ndo mwisho wa kutuma maombi je vip wanaweza wakaanza kuita usaili kuanzia lin hiv jamani
  13. sir.mohere

    Kuitwa interview Assistant Account NIC

    habari zenu wanajamvi naomba kuuliza je kuna mtu yeyote kaitwa na hilo shirika kwa post mbili songea na sumbawanga
  14. sir.mohere

    Nafasi za kazi NMB Plc Lake Zone: CLOSING DATE: 23rd May, 2014

    Ehee acha msikatishe watu tamaa wasiapply bwana hyo post sio.ya kupost ovyo imetoka nmb achen comment zenu za ovyo ovyo kama mtu huna qualification achen kua apply wengne wata apply sio kubeza wengine
  15. sir.mohere

    Nafasi za kazi NMB Plc Lake Zone: CLOSING DATE: 23rd May, 2014

    nmeona bank teller afu hyo mtoa thread kaitoa web gan mbona haionekani sehemu yeyote pale hata job tanzania na carrer ya nmb haipo
Back
Top Bottom