Recent content by Sir.Milao

  1. S

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Mpira fitna siku hizi...Tff wapo kimaslahi zaidi fitna hawazijui hata kama wanazijua basi wabahili kufanya hivyo.Maana Tanzania tukiwa nyumban hakuna tofauti na tukiwa ugenini.Tusipofanya fitna tutaishia kusindikiza wwnzetu tu miaka yote.
  2. S

    Najihisi kuchanganyikiwa....

    Nilikuwa naskiaga tu kuwa wanawake walimu wao Vipofu.Kumbe hii misemo ni kweli eeeh!Hainiingii akilini we u fall kwa mtu tu kupitia JF? Au una kale ka disease ka Kupenda? Dada amka wadada wengi sasa hivi wameamka CC wanaume tumejawa na maneno matam na nyimbo na mistari ya kimahaba pindi...
  3. S

    Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    Mugabe Jembe na anajali sana wananchi wake ndio maana anakubalika.Rasilimali za Wanazimbabwe 90% Zinatumika na Wanazimbabwe Za kwetu hapa Marafiki zao wa nchi za nje na Mafisadi.Morgan anatumiwa na nchi za Magharibi ili waje kula Rasilimali za Wazimbabwe.Wazimbabwe wamelishtukia hili.Uongozi C...
  4. S

    Libolo laishinda Simba

    Tatizo Simba uongozi wanauza striker Okwi wananunua kipa Mganda wakati wanajua hachezi na hatopata namba mbele ya Kaseja.Si bora wangenunua Striker.Rage bure kabisa
Back
Top Bottom