Recent content by Sir Magesa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Ezekia Oluochi umewageika wanao kulipa?

    Mkuu unataka kusema kuwa walimu hawajasoma?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Ezekia Oluochi umewageika wanao kulipa?

    Adui wa mwalimu ni mwalimu mwenzie
  3. S

    JamiiForums Tanzania Unaposafiri na Bus unapenda viti (seats) gani?

    mi napenda sana siti za mbele Ama pale jikoni ili niweze kusoma vibao mbalimbali vya njiani pamoja na kuangalia speedmita ya bus
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ada na Michango mashuleni kwa ajili ya mwaka ujao, imeagizwa kama kawaida!

    Labda Kwa masomo ya arts lakini Kwa masomo ya sayansi na hisabati bado sana.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Uhuru ukwapi mnasherekea uhuru??/ Uhuru wa kutowafilisi viongozi wakijiuzuru??
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo waliofukiwa Nyangalata, waokolewa wakiwa hai baada ya kukaa siku 41

    Ni uwezo Wa Mungu uliowanusuru kuendelea kuwa hai Kwa taklibani siku 41. Waliishi Kwa kula mende, magome ya miti pamoja na kunywa Maji.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    Ccm ni ile ile.. Undugulazation ni ule ule...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Betting online

    meridianbet
  9. S

    JamiiForums Tanzania Samatta aipelekaTP Mazembe fainali africa

    viva Samatta
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kishimba azidi kutamba,lembeli azidi kunywea

    Hapa kahama ccm iko katika hali tete, Kishimba anatamani kujitoa maana ccm wanatumia pesa zake tu. Kahama ni mabadiliko Kwa kwenda mbele, Lowasa na Lembeli wanangojea kuapishwa tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Tanga hiki hapa

    Tukutane October 25 kura ni Lowasa tu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    Kahama mjini hatuitaji kakakuona wala pweza wa ujerumani, hapa ni Lembeli na Lowasa tu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    0764411564
Back
Top Bottom