Nafanya mazoezi sana,nimejinyima chakula nikaambulia madonda ya tumbo,asali,maji ya uvuguvugu,ndimu vyote nimetumia mwaka sasa unaisha,matunda mboga mboga mpaka zimenichosha-jana nimepandwa na ugonjwa wa ghafla nimepimwa naambiwa presha juu,uzito wangu sasa ni kilo 98 ukilinganisha na urefu wa...