Na hatutawaacha komaeni hivyohivyo Maaskofu ingawa mm ni mwislamu lakini nawapongeza sana kwa kauli zenu hizo zinazoangalia muskabari wa nchi inavyokwenda ila napata tabu sana kwa mashekhe wetu wamekaa kimya sasa cjajua kama haya mambo hawayaoni au ni vp
Weka wazi maelezo yore mkuu ili watu wakuelewe ikibudi ilete hiyo sheria inayoanza kazi kesho ili tuione
Kwa maelezo ya harakaharaka niliyopewa kutoka ppf wanasema sheria hiyo inaruhisu kuchukua fao lako sheria hiyo inaitwa fao la kutokua na ajira
Huyo fala achana nae yeye alitaka akawafufue hao watu waliokufa huko kibiti mbona sio kazi yake huyo bikijo kazi ya bikijo ni kutetea haki za binaadamu na sio kukufua watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.