Jamani acheni uzushi wakijinga na hatari kwakipindi kama hiki. Unapotunga post kama hiyo kupotosha kwa maslahi yako au ya chama chako itakugharimu inawezekana hata kura usipige hata kura.
Hiyo habari sio ya jeshi la polisi..labda kama alieleta anajeshi lake la polisi..na tutampata nitawaletea...
Silence implies a lot of things guys. They might have impulsed him to shut his mouth but the repacution of this silence sound the same melody as that of saying something. He is killing them softly...God bless Tanzania and Tanzanians as well.
Nikosa kubwa kama kweli anafanya hivyo. Hatakiwi hats kutumia gari za wizara. Lakini kwakuwa ccm wanajiona wapo juu ya sheria zote basi wanaompangia safari zake na wale wanaojipendekeza kuingia kwenye msafara wake wakiwa na usafiri wa uma wanavunja pia sheria, vikosi maalum vya jeshi...
Mimi nilijua watu wanavoliponda sana jeshi LA polisi na kuombea waendelee kufa...nikajua with hawaipendi wala kuiweza Nazi hii. Kumbe kelele tu...haya karibuni tujenge jeshi la kisasa kuondokana na ukilitimba na urasimu tujenge imani na amani kwa wananchi. Sio mje muige mabaya mnyang'anywe...
Ndo madhara ya kuingiza siasa katika kila kitu, mpaka kwenye mambo ya kiusalama. Mpaka wakati mwingine unaweza kukufuru kusema ni madhara ya akili ndogo kuongoza akili kubwa. Lakini huenda Jeshi lilisema hivyo kwa nia njema ya kupunguza tension ya Watanzania, maana waTZ nao kwa matukio utadhani...
Wasalaam Wandugu,
Najua wengi mtakuwa mmeona tangazo la wito wa wadogo zetu wanaotarajiwa kuhitimu masomo ya sekondari kidato cha sita 2015 kwenye blog ya Jeshi..www.policeforce.go.tz ambapo kuna sel-form ya kujaza kisha kuthibitishwa na mkuu wa shule yako kabla ya mkuu huyo kuzipeleka ofisi za...
Nimependa sana comments za baadhi ya watu humu...ni za kujenga na ni zakistaarabu. Huwezi jua nani anasoma mambo haya na anahusikaje na Jeshi hili. Mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wanalichukia sana Jeshi la Polisi, kama mnakumbuka juzi tu hapa 2010 nikiwa UDOM tulipigwa mabomu na nilifika mjini...
Polisi wapo karibu na wananchi na huonekana sana ndo maana rushwa anayoichukua inaonekana. Ivi unajua rushwa inakoliwa Tz hii kaka? Taasisi muhimu zile tra,tpa,ununuzi, na zingne.
Yaani askari anamkamata mtu mwnye kosa la fine elfu30,000 au 60,000/- lakini anabembelezwa kuwa haya ni maisha...
Shalom Watanzania
Nimestushwa na kusikitishwa sana na kauli na comments za 'Watanzania' wengi waliotoa maoni yao kufuatia matukio ya kuuawa Askari wa Jeshi la Polisi hususani tukio la juzi Kongowe.
Napata ukakasi kuamini kuwa niwatanzania wanaotoa kauli hizi..zikiwemo za kuvinja moyo askari...
Inasikitisha sana...yaani raia wa Tanzania mnacomment kwa kauli kama hizi kweli? Ningewaona wa maana saana mgefanya moja kati ya haya;- Andamaneni au endesheni harakati zozote kushinikiza Jeshi la Polisi liundwe upya kadri muonavyo ninyi; au Andamaneni au fanyeni harakati zozote mshinikize Jeshi...
Sijajua unahitaji msaada wa kitu gan sasa. Kama nikuajiriwa njia zinajulikana...bila kujali una bachelor degree au master degree kama tangazo la ajira lilivoonesha. Kama unaulizia jinsi ya kufanyiwa interview wewe mwenye master degree jibu nikwamba utasailiwa sawasawa na wengine.
Cha muhimu...
Msipotoshane jamani...majina bado. Mtaitwa tu before 15 December. Nikawaida JKT,Form IV na VI kutangulia wiki atmost 3 kabla ya Diploma na Degree kwenda. Ombeni tu mpite kwenye interview yenyewe. Hayo ni majona ya diploma na degree 2012...
You poor MZIMU why cant u shout ur mouth? U know less about ths issues, am telling u coz i hv been tought the defence mechanism...the situation to kill,defend or escape. It is insanity to entertain risk scenes in order to claim heroic.
Am not here to argue wth u but just for ur...
Unaruhusiwa kumiliki silaha...kaombe kibali ujilinde. By the way, si vituo vyote hufungwa saa 12 jioni, kunavituo havina usalama wala manpower zaid ya mgambo wawili au watatu,utakuta askari kuhofia usalama wake anaishi mbali..mjini sio uswahilini au kijjn hivo bas kuliko kuwaachia mgambo kituo...
Nawahakikishia sitasema mengne zaidi ya hayo ila nilichowaeleza ndo ukweli. Je ni kweli wale waliodai walifanyiwa huo unyama wa kulawitiwa wamefanyiwa hivyo? Tatizo wabongo niwatu wa matukio (nine days wonder), mmelishupalia hili bila hata kufikiria upande wa pili!.
Narudia tena...mikakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.