Recent content by Sir Khan

  1. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania Sisi Watibeli hatuoni ajabu kusikia mtu katolewa maini kisa kutaka mali zisizo zake kwa kisingizio cha kuwa ni mke/mume

    Mtu anakusaliti,anakuonyesha dharau halafu anataka mkiachana achukue nyumba na mali zako kwa kisingizio Cha watoto. Hata kama ni mama yangu kifo Cha kikatili ni haki yako.
  2. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania TANESCO leo mnafanya mazoezi ya utayari ya El Nino? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme!

    Ni wilaya yote ya chunya usijifanye kama haujui
  3. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania TANESCO leo mnafanya mazoezi ya utayari ya El Nino? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme!

    Kwanini Chunya Kila alhamis na jumamosi mnakata umeme?
  4. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania Ujumbe""""wa leo kwa walio-oa

    Upumbavu huu. Uoga kawauzie wajinga wenzio.
  5. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania Eti Samia anataka kuacha tabasamu kwa Watanzania. Kwani anaenda wapi?

    Swali la KIPUMBAVU hili we mswahili.
  6. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania Eti Samia anataka kuacha tabasamu kwa Watanzania. Kwani anaenda wapi?

    Sijakuelewa
  7. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania Eti Samia anataka kuacha tabasamu kwa Watanzania. Kwani anaenda wapi?

    We nae ni MPUMBAVU wa hiari. Ninani asiyejua kuwa muda wa rais Samia kukaa madarakani ni chini ya miaka 5? Na baada ya hapo anaondoka Kama walivyoondoka waliomtangulia. Hata Kama una chuki jaribu kutumia akili.
  8. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Popote pale duniani kauli za Amiri Jeshi Mkuu lazima ziwe ni za Kibabe na Kishujaa la sivyo Maadui wataliona Taifa lenu ni legelege na lina Mabwege

    Kama wanaleta upumbavu washughulikiwe kwa ubabe . Huwezi kuharibu,kuchoma na kuiba mali binafsi na za umma halafu utegemee utaachwa tu kisa demokrasia. Kichapo kiendelee.
  9. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Una ushahidi kuwa Mimi nimeshiriki kuua watu? Kama wewe unanitungia Mimi uongo, Kuna shida Gani serikali na polisi wakitunga uongo na kukufunga jela bila kosa. WAPUMBAVU Kama wewe mkipata madaraka mtaua na kuwatungia kesi za uongo watu wanaopinga mawazo yenu.Wanafiki wakubwa.
  10. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    kwahiyo kwakuwa watu zaidi ya 10k wamekufa, sisi tuliobaki hatuna haki ya kutoa maoni yetu na kuleta mada isiyokufuraisha hapa jf? Wewe na wenzio ni madikteta WAPUMBAVU mliokosa madaraka.Watu Kama wewe hata mkifa million kumi sijali.
  11. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Kama wewe hunijui unanitungia uongo kuwa nalipwa elfu 7 kutetea serikali.Kuna shida Gani serikali na polisi wakitunga uongo na kukufunga bila kosa? Au mkuki kwa nguruwe....
  12. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Unaona ulivyo MPUMBAVU ? Kwa akili yako mtu akikisoa mawazo yako tayari anakua ni uvccm? Siipendi ccm Ila Bora kutawaliwa na ccm kuliko kuwapa madaraka WAPUMBAVU Kama wewe ambao ni wabaya na madikteta zaidi ya ccm. Ccm iendelee kutembeza kichapo kwa watu Kama wewe.Kama mtu hataki kusikiliza na...
  13. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Jf Kuna nyuzi zaidi ya 10000.Kama Kuna mada haujaipenda pita kushoto. Ni MPUMBAVU pekee ndiye atafungua Uzi asioupenda halafu aanze kulia lia Kama litoto. Man up.
  14. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    MPUMBAVU ni wewe unayetaka watu wapost kile kinachokufurahisha tu halafu unajiita mwanademokrasia. Mtu Kama wewe na WAPUMBAVU wenzio mkipata madaraka mtakuwa wabaya Kama au zaidi ya ccm.
  15. Sir Khan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Hili ni jukwaa huru.Watu watapost chochote hata usichokitaka.Kwa ujinga wenu mnajiita wanademokrasia lakini hamtaki watu wawe na mtazamo na hoja tofauti na zenu.Nyie ni madikteta mliokosa madaraka.@Choosen85
Back
Top Bottom