Recent content by Sir Bulbul

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kila la kheri mkuu uliebarikiwa
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

    Ingekuwa wewe ungempa? Njoo kwanza nikushike mzigo kidogo
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Wewe unazungumzia kusaliti mimi demu nikimtongoza tu anipe jibu ndio au hapana sitaki danadana, akianza danadana namkoromea halafu nakausha, unanikataaje kwa mfano, au unichukulie poa sitaki nataka hapo umenidharau na ndio imeisha hiyo, sitaki utoto kwenye mahusiano.
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Sare hata shule wanashona wewe
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Hawa bwana walikuwa hawapendani, ni njaa zao tu ziliwafanya waishi pamoja lkn kila mtu alikuwa na mipango yake pembeni, hakuna mapenzi ya dizaini hiyo sijawahi kuiona
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Kumbe shangazi unapenda sana story za kishamba😁😁😁
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Sio wakuja mjini, huyu hajawahi kufika mjini, waliowahi kufika mjini hawawi washamba kupindukia kiasi hichi, hivi ameshindwaje hata kumwambia ukweli alipokosea ili kutatua matatizo yao, na pia kama mwanamke unampenda kweli linapotokea tatizo la kuhatarisha mahusiano yenu hushindwi kumwambia...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

    Mbona unacheka au kwa sababu mwamba kashatusanua mbingu zenu
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

    Weka account yako ya tigo pesa nikuwekee laki 1 chap, umeniokoa bado kidogo nipotee njia, mimi nilikua nafanya tofauti ndio maana siwapati
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukipewa namba na mwanamke wa JF kuwa makini sana, ukizubaa unaliwa

    Mtoa mada wanazungumzia watu wenyewe ndio kama wewe isipokuwa ni tofauti kidogo wewe huombi hela wala hujibu pm, Sasa Sema hapa hapa unataka milioni ngapi ili uweze kujibu pm yako? Wenzio huomba niwakatie ticket za ndege ili wanifate nilipo
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibuni kwa ushauri

    Alaaah yamekuwa hayo?
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

    Nifah unateseka ukiwa wapi Sasa hivi?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Labda nikukojolee wewe si unataka?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nakaribia kudhulumiwa, naombeni ushauri

    Nilitoka uniuzie huo masala umekomaa mwenyewe basi niuzie tu hivyo hivyo mkuu usijali wewe kajenge huko unakoishi, fimbo ya mbali haiui nyoka
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nakaribia kudhulumiwa, naombeni ushauri

    Mkuu niuzie nyumba yako tafadhali
Back
Top Bottom