Recent content by sir.ben

  1. S

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga ajiunga na ACT Wazalendo

    mwakibinga njaa tuuu....alitoa matamko akijipambanua wazi kumuunga mkono nshindi leo yuleeeeee
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Wakati ccm mkihangaika kuifuta chadema ,huku dodoma chadema wanapigania watoto wa wenye kipato cha chini kufanya mitihan na wamefanikiwa wakiwemo na wana ccm ambao wameruhusiwa kufanya mitihan baada ya chadema kuwafata viongoz wa kitaifa baada ya serikal ya wanafunz kugomewa na chuo, sasa ninyi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Mkakati wa kuwateka vijana wasomi vyuoni..!

    hii ni kweli.mi nipo udom,ccm hawajitambui
  4. S

    JamiiForums Tanzania Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Du polen! Wa jijin.
  5. S

    JamiiForums Tanzania JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    unataka kujua ya zitto? Muulize kafulila na hamad! Ni haki yake kujichelewesha kutoka kwan ana hamu ya kuvaa gwanda, ila hana nafas tena ndan ya chadema, tunasubil kesi iishe, na ukumbuke kuwa mahakama itafanya kuwaomba chadema kuitisha baraza kuu na si kuwalazimisha kwan hawawez kwa mujibu wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    duu nalikumbuka tofari la rage kule dodoma tena akiwa mbele ya camera akijidai kuipigania ccm, hatari!! Ccm hamna jipya,mnaua mawaziri kisa pesa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa sakata la alhaji professor Athman Kapuya

    prime minister!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:dance:
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere: Nitagombea ubunge kama mgombea binafsi na sio chama cha marehemu baba yangu

    Mnaompinga wote wehu, kama hatak ccm nyie yawahusu nn.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majeraha ya risasi ya Mwandishi Ufoo Hayamfanyi asiwe mshukiwa

    Kesi ngumu tukitoa hukumu kwa mmojawapo! Achen polis wachunguze, japo wapo wasio na weled humo. Mungu epusha majanga kama haya.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamefikia malengo yao

    Lemutuz rudisha kadi ya ccm
  11. S

    JamiiForums Tanzania Spika Makinda: Zamani kabla sijawa Spika bunge lilikuwa halitazamwi kama sasa!

    Kwa ungese wake.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chibulunje alitema jimbo 2015

    Chadema vivaaa!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Balozi Khamis Kagasheki Kufikishwa mahakami wakati wowote

    Huyo ni --------, kama kuuawa ni baada ya mahakama angekuwa na hoja, ms... Huyo.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nani Kauongopea umma Mswada Katiba Mpya: Wanasheria Wanaomkosoa Lissu au Lissu?

    Nipe kinana ya baridi, nimechoka safari ya kwenda kilimanjaro kuchek castle ikicheza.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Huu unafiki wa CHADEMA na wanaharakati uchwara utaisha lini?

    Unafik wa chama changu chadema kama tittle yako isemavyo,utaisha pale mkewako akifa leba kwa huduma mbovu na magazet yakatazwe kuripot, kwan ukiripot kitu cha kwel unaambiwa vingine secret, hiyo secret imetoka vp waandish wakaipata? 'mishahara mipya" wanaficha nini hapo?
Back
Top Bottom