Recent content by Sir Alex

  1. Sir Alex

    Ni Mtandao gani kwa sasa Tanzania ni Salama na Haraka kufanya Manunuzi Online?

    Habari za Jioni wana JF naomba niweze kupata platform gani Tanzania kwa sasa iko safe and Haraka kwa Kufanya manunuzi kwa Njia ya Mtandao?. Maana nasikia kwa Sasa KIKUU Wanasumbua sana. ASANTE. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Sir Alex

    Ni Mtandao gani nchini Tanzania kwa sasa ni Salama na Haraka kwa Kufanya Manunuzi Online?

    Naomba Link Mkuu ya hiyo Website Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Sir Alex

    Ni Mtandao gani nchini Tanzania kwa sasa ni Salama na Haraka kwa Kufanya Manunuzi Online?

    Habari za Jioni wana JF naomba niweze kupata platform gani Tanzania kwa sasa iko safe and Haraka kwa Kufanya manunuzi kwa Njia ya Mtandao?. Maana nasikia kwa Sasa KIKUU Wanasumbua sana. ASANTE. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Sir Alex

    Msaada wa kupata Navigation Disk ya Eclipse AVN440 5D Map kwa ajiri ya Ku Unlock Radio ya Gari

    Hellow Jamii Forum, nahitaji sana kupata hiyo DVD ya Eclipse AVN440 5D kwa ajiri ya Ku unlock Car Radio, na hii inakuja baada ya Kuchomoa Betri ya Gari, then Bahati Mbaya Ni kuwa DVD yake nilikua tayari nimeipoteza. Once kama kuna mtu akiwa nayo humu, hata kama yuko Mbali anaweza Share nami...
  5. Sir Alex

    Nani anaweza kupandisha Mtandao kwenye simu ya TECNO CX (Hardware), nipe Ujanja

    Ni yangu peke angu. boss [emoji23][emoji23][emoji23] Dishi langu liko sawa
  6. Sir Alex

    Nani anaweza kupandisha Mtandao kwenye simu ya TECNO CX (Hardware), nipe Ujanja

    Simu ya TECNO CX nikiweka 3G only inashuka mtandao inabak Bar Moja tu and speed inashuka sana, Msaada kwa hili Guys. Je, naweza pata Screenshort tutorials za kucheza nayo kwenye hardware? Nisaidieni Ujanja NOTE: Nina vifaa vyote vya ufundi.
  7. Sir Alex

    Tecno Camon CX: Inauzwa bado mbichi

    Noo bas Fanya, 190 k
  8. Sir Alex

    Tecno Camon CX: Inauzwa bado mbichi

    Call 0752655557
  9. Sir Alex

    Tecno Camon CX: Inauzwa bado mbichi

    Songwe - Mbozi DC
  10. Sir Alex

    Tecno Camon CX: Inauzwa bado mbichi

    Tecno Camon CX Imetumika only 2 Months. Bei ni 250,000 hadi 200,000 mwisho. Specifications zake: 5.5-inch IPS Display, 1080 x 1920 pixels (400ppi) 1.5GHz octa-core Mediatek MT6750T CPU with 2GB RAM. Android 7.0 (Nougat) with HiOS 2.0. 16GB Storage with support for memory card up to 128GB...
  11. Sir Alex

    MSAADA: Nahitaji mtu anayeweza kuongeza signal strength kwenye Smartphone i.e TECNO Camon CX

    Asante antenal iko poa kabisa. Iko Connected what else [emoji29][emoji29]
  12. Sir Alex

    MSAADA: Nahitaji mtu anayeweza kuongeza signal strength kwenye Smartphone i.e TECNO Camon CX

    Jamani kuna simu ya TECNO CX Ambayo fundi alichange touch screen and system charge, sasa baada tu ya zoezi hilo naona Network yake iko chini sana (Bar Moja), had sometimes nikiweka 3G only then nipo ndani ya chumba inapotea kabisa Msaada. NOTE: Kwa Technical issues hata kama uko mbali...
Back
Top Bottom