Recent content by sipavange

  1. S

    Kujiunga kwa Lowassa UKAWA ni hatua kubwa katika mabadiliko ya Siasa za Tanzania

    hii ni njia ya kuelekea kupata Tanzania tunayoitaka,nchi ambayo watanzania tutaona fahari kuitangaza nje ya mipaka yetu.
  2. S

    Wanawake wa CHADEMA wamedanganya umma

    ukawa ni mpango wa Mungu.
  3. S

    ACT - Wazalendo wafanya mkutano mkubwa Sumbawanga leo jioni

    hamna kitu kinachoendelea hapo zaidi ya kumuandalia maji ya kuoga mme wake sicemu tu huyu p@u nguani wa kke.
  4. S

    CHADEMA yaumbuka Geita mjini

    naona dumuzi wa maliasili zetu wapo ghalani.
  5. S

    Serikali yashindwa kupeleka wanafunzi kidato cha tano mwaka huu

    Tanganyika eeeh nakupenda oooeeh!!
  6. S

    Nassari atumia Chopa kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha, afanya mikutano nane kwa siku

    hata kama ni ufujaji wa fedha lakini anafanya kazi nzuri ya kuhamasisha wapiga kura na pia anawatengenezea tume ssm cv.
  7. S

    Chama Cha Mapinduzi kimekufa, wamebaki wachumia tumbo

    Mbinu pekee waliyobaki nayo ya kujinusuru ni kuitumia t.u.me kuvurunda katika bwiviara.
  8. S

    Dr. Harrison Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Atueleze kwanza kile alichokiacha kwenye ripoti ya rich_mondu kwa kuinusuru siri_kali kwani kwa sasa ndo inamaliza muda wake kabla ya kutuambia kwa nn anataka kwenda magogoni.
  9. S

    Hivi ziara hizi za Kinana zina tija?

    huyu mzee ameonesha upungufu mkubwa kwa kujifanya ni waziri wa wizara zote za mwenyekiti wake.
  10. S

    Kauli ya Dr. Slaa dhidi ya CCM yaanza kudhihirika wazi?

    hata kama wanafanya mambo ya kipuuzi lakini mwanzo wa mwisho wao unaonekana.
  11. S

    Uzushi dhidi ya Mwl.Kashindye-Igunga

    huyu jamaa ni aina watu tunaowahitaji kwa upanuzi wa chama.
  12. S

    Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

    Aliyeuchanganya mchanga,mchanga umeshamfukia.
  13. S

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    wao wanacheza kombolela sisi tunasonga mbele kuhakikisha tunapata katiba bora.mungu ibariki tanzania mungu bariki ukawa pale bungeni.
Back
Top Bottom