Katika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika kuwekeza. Kwasasa mnachotakiwa kukifanya mkikutana nao, pamoja na FALSAFA, MBINU na MAELEKEZO mengineyo...
Kila mtu anaumuhimu wake kwa timu yake na kwa nafasi anayocheza.
Ila mtazamo wangu kuna mambo mengi AJIBU anamzidi CHAMA. Kilichomkawiza AJIBU hakuwa amepata KOCHA anayeweza kumwambia UKWELI WA UHALISIA wa kipaji chake na jinsi ya kukitumikia kimletee yeye faida, timu yake na Taifa kwa ujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.