Recent content by sinyaG

  1. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay aeleza sababu za kujiunga na CHADEMA. Aeleza msimamo wake kuhusu kugombea ubunge

    Big up Prof J!kauli yako inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa kamanda mzoefu. Shime kwa vijana wengine tuamke kwa pamoja ili tuikomboe nchi yetu. wapi Diamond,Ali kiba nk?.fuaten nyayo za pro J.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    ushauri umeenda shule.sasa je unaweza fahamu njia ambazo zitanisaidia kunisahaulisha na hili tatizo?pls help me!
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    Ahsante kwa ushauri inawezekana huyu mtoto akaja JK wa baadaye si utampa kura ya ndio?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    ahsante sana sasa kama nikimuua huyo mtoto then nikienda tubu kwa mungu wangu awezi nisamehe? cz hali yangu ni tete sana.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    Nimekusoma ndugu oh Mr G.Lema!,hivi nae ameshaenda uk hv karibuni?back to my issue,nataka nifahamu hv inawezekana ktk mahakama zetu kukawa na private hearings kwa issue kama hizi za ubakaji ili kumantain status za hawa waathirika wa ubakaji?
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    Ushauri mzuri pia ila hv udoctor ulisomea wapi vileee cz nimesahau kidogo!!!
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    Ahsante ila sijui nifnye nn ili akili yangu isiwaze hili jambo?waweza nipa more advice on this pls?duh hapa tu nimechoka kweli kingreza ni witoo!
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    Ahsante kwa ushauri ila huu ushauri usiwe ndio wa mwisho kwa leo cz bado tupo na tutakuwa wegi kwa leo ambao tunahitaji ushauri wako.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    Hiyo ni faraja kwangu japo kidogo ila ni kweli hayo usemayo kuwa wapo wenye watoto?walifanyaje hadi wakacope na hii situation?
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    Ahsante kwa ufafanuzi ila ww una shauri nn katika hili?
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    mahakamani kwenda inawezekana ila uoni kuwa ndio atazidi kujitangaza kuwa kabakwa?na watu wengi zaidi watalifahamu hili jambo na jamii itamchukuliaje?
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    sheria ipi unayoizungumzia?na kuhusu kidini wakristo kuua ni dhambi ndugu yangu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hatubadiliki watanzania wenzangu?

    mfano; inapotokea tunaombwa kuchangia issue kama za harusi au sendoff mara nyingi huwa tunachangia kwa ushindani sana malaki kwa malaki, sasa omba mchango kwa ajili ya matibabu au ada ya kulipia masomo utalijua jiji yaani HUTASOTA WEEEE hadi wafa au utafukuzwa shule . TUBADILIKENIIII
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tutaniiii!?

    Una dada yako ambaye ni mjamzito baada ya kubakwa na kutokana na hiyo issue kutoa hiyo mimba anataka ila anahofia kuua kiumbe kisicho na hatia tumboni na kuiacha hiyo mimba anataka ila ana hofu huyo mtoto atakuwa anamkumbusha tukio la kubaka kwake sasa utamshauri nini? Naomba mawazo yenu ndugu...
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu vya lazima kuwa umevitimiza at age 40

    HApo ndugu nashukuru kwa kunifumbua macho ila hiyo ptn ya nane mhmh hapana kwani kitambi ni sign ya obesity so ukiwa na tumbo la flat ndio dili
Back
Top Bottom