Kama kuna mwl bila kujali ni wa dini gani na anaefundisha Tanga, Pwani, Mafia, Lindi, Liwale, Nachingwea, Tandahimba nyumbani kwetu, Newala, Ruangwa hebu pimeni elimu imewekwa kwenye kundi gani mtapata majibu. Dawa ni kuijali elimu, kusoma kwa bidii na kutambua kuwa elimu ni gharama na ya thamani.