Recent content by Singo Batan

  1. Singo Batan

    With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Hapa sasa ndio napata jibu kama wangekuwa wameunganisha hiyo mifumo wangeomba nida ya nini? Au kadi ya mpiga kura ya nini wakati kwenye hiyo database umo??
  2. Singo Batan

    Wakenya punguzeni kiherehere

    Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani. Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa...
  3. Singo Batan

    PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

    Bahari Motors unawajua wewe?? Rungwe akiamua kufungua pochi, tone tone na wengine mtamtafuta kwa mbali
  4. Singo Batan

    Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

    Mwamba Hauko pekeyako. Jipige kifua sema Mimi ni Mwanaume songa mbele na life. Hata unaotuomba ushauri humu tushagongewa saana. Tafuta pesa, hujamkuta bikra huyo. Na unavyozidi kumpendezesha ndivyo anavyopata hamu ya kuwekwa na wengine😃😃 relax man huzalia ili uumie
  5. Singo Batan

    PreGE2025 No reform no elections yapuuzwa, mamilioni ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wajitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura

    Dar imechachuka bhana golugwa mwenyewe kasema makamanda watia nia waendelee kujiandaa. Na watia nia wetu kwa street wanaendelea kutupush tupate vile vitambulisho ndio kujiandaa kwenyewe. Nimepishana na vispika vya act doing the same.
  6. Singo Batan

    Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

    marehemu hana haki, angekuwepo mwenyewe angejitetea. sisi tulio njiani tusiwe wa kuhukumu
  7. Singo Batan

    HERI YA MWAKA MPYA WA 2025

    Wana JF wote Pokeeni salamu zangu za Mwaka huu wa 2025 ukawe mwaka wa heri kwa kila mmoja wetu. Asanteni
  8. Singo Batan

    LGE2024 Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanatimiza zoezi

    Kwani ili wananchi wakajiandikishe wanahitaji hamasa gani zaidi ya kujitambua wao na wajibu wanaopaswa kuutekeleza? Hao ccm wanaenda kuwabeba watu wao wakajiandikishe? Kama vijana watatambua kwamba wanapaswa kushiriki vizuri kwenye masuala yanayohusu uraia wao kuliko kuandamana mitandaoni...
  9. Singo Batan

    Watu hawapaswi kuhofu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Kongolee; Umemaliza mwaka huu vizuri kabisa! Maisha hayawezi kwenda kama tunatawaliwa na hofu + assumptions!
  10. Singo Batan

    Miswada miwili ya sheria za uchaguzi yatua bungeni

    Je tuichukue ya Kenya kama ndio Tume ya Kuigwa??!
  11. Singo Batan

    Miswada miwili ya sheria za uchaguzi yatua bungeni

    😃 Tanzania ngumu sana... Nilidhani hii ni hatua kubwa. Kumbe baaado
Back
Top Bottom