Recent content by Singano jr

  1. Singano jr

    Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

    Hao ni Individuals with homozygous genetic mutation lakini hata hivyo haimaanishi wana Kinga ya kutopata maambukizi kwa asilimia mia moja.
  2. Singano jr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI: SINGANOJR Mono no aware. SEHEMU YA 697 Kusikia maneno yale ni kama vile yamefungua fundo ambalo lilikuwa limejifunga funga kwenye ubongo wake. Mpaka pale Edna alijiambia kuna kitu ambacho alikuwa amesahau , kama kuachana kunazuia matatizo kutokea...
  3. Singano jr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA MRUNZI: SINGANOJR Mono no aware SEHEMU YA 694. Ilikuwa ni kama Roma alivyokuwa ametegemea , kwani ile anafika katika makazi ya Mzee Sharif yaliopo Bagamoyo aliweza kukuta vurugu zilizokuwa zikiendelea. “Ndio mmeanza vurugu?”Aliongea Roma mara baada ya...
  4. Singano jr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    SEHEMU YA 595 Roma kwa haraka sana kumbukumbu zake ziliweza kurudi siku ambayo alikutana na Kizwe pamoja na Lekcha ndani ya Club B , Lekcha wa kipindi kile alikuwa wa kawaida sana na hakuwa tishio lakini Lekcha ambaye anamuona mbele yake alikuwa ni mwingine kabisa. Kwa mtu mwingine angepingana...
  5. Singano jr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    SEHEMU YA 591. Ni nje kidogo ya jiji la Kigali katika mlima uliofunikwa na msitu wa miti alionekana Denisi amesimama kando kabisa ya nyumbas ambayo imetengenezwa kwa mabanzi kama banda huku nyuma yake akiwa na wanajeshi wake. Macho yake yote yalikuwa yakiangalia upande wa jiji la Kigali kwa...
  6. Singano jr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    SEHEMU YA 589. Wanajeshi wote hakuna ambaye aliamini kama Kamanda wao ndio amekufa hivyo ,ilikuwa ni kama vile wapo ndotoni na muda wowote wangeamka na kuona sio kweli. Kamanda mwenye cheo cha ubrigedia jenerali alikuwa amekufa kiwepesi kwa namna hio . Matendo ya Roma yaliwaambia kabisa...
  7. Singano jr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    SEHEMU YA 587. Ni muda mchache sana ambao Raisi Senga alikaa ndani ya nyumba hio na kuondoka , huku akiaga kabisa anarejea ikulu ya Dar es salaam. Upande wa Roma alijikuta akiwaza sana juu ya picha ambazo alikua ameonyeshwa , aliona kitendo kilichofanyika kilikuwa cha kimakusudi kabisa ili...
  8. Singano jr

    Ujasusi - Umoja namba 97

    Naweka mwendelezo hapa
  9. Singano jr

    Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    leo nashusha vipande sita
  10. Singano jr

    Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    wangapi mpo mnafatilia hii simulizi
Back
Top Bottom