Truth. Lakini tunatakiwa kuona kipaumbele chetu NI kipi? Ukiangalia KWA macho yoote mawili vizuri utaona KWA NCHI za afrika ikiwemo TANZANIA kipaumbele kikubwa NI siasa tena KWA asilimia kubwa sio siasa safi..Hivyo hatuwezi kuendelea KWA satili hiyo milele.
Hapa tunatoa mawazo yetu kama watanzania ila sio KWA KUSEMA UKITEULIWA KUWA WAZIRI WA AFYA?? MBONA TEUZI ZENYEWE ZINA MIZENGWE YA KILA AINA AU MPAKA UWE CHAWA KWELIKWELI NDIO UNAWEZA KUNUSA TEUZI HIZO NKNK..
Ila KWA maoni ni kuwa inasikitisha sana kuona SIASA ZA TANZANIA ZIMEJIKITA KWENYE AFYA...
Serikali inaajiri watu wachache sana hasa wanaomaliza vyuo vikuu na kwasasa wapo weeeengi mitaani . Waliosoma ualimu, afya, na kozi nyingine nyingi sana wapo na digrii mitaani.
Kuna baadhi ya sekta zinatakiwa kuongezwa waajiriwa , mfano kuongeza walimu mashuleni, kuongeza wataalamu afya na...
Apumzike kwa Amani japo inasikitisha. Msaada wa huduma za kisaikolojia muhimu sana hata vyuo vya seminari. Watu wengi waliofeli mitihani ya darasani WAPO NA MAISHA MAZURI SANA KULIKO HATA WALIOFAULI HALAFU WAKAENDA VYUO MBALIMBALI.
Waafrika sijui aliyetuloga ni nani, yaani wananchi wanahangaika yeye yupo huko anakula bata / starehe. Kwani kaenda kufanya nini hasa. Ufujaji Mali za umma huo.
Ila tusiwacheke sana maana huku kwetu ni SIRI HAITAKIWI KUTOLEWA KWA UMMA KWAAJILI YA USALAMA. AFRIKA! AFRIKA! AFRIKA!
Advance education ningeiruka haraka sana. Hata ukiangalia nyakati hizi za sasa wahitimu wengi hawana mwelekeo pamoja na kuwa na miaka miiiingi ya kukaa darasani. Tuliowaacha darasani LA saba ndio majasiri wa maisha HATA KUOA HAWAOGOPI ILA SIO KIJANA WA CHUO KIKUU.
Ukiangalia kwa sasa nchini ni WANASIASA TU TENA WA NGAZI YA JUU NDIO WANAONEKANA WANA HAKI ZAIDI JUU YA SHERIA ZILIZOPO yaani hata wakikosea hakuna mamlaka ya kuwaadhibu au kuwawajibisha ipasavyo, wakitunga sheria mbovu hakuna kuwajibika ipasavyo kikatiba nknknk.Hivyo kuna ulazima wa kuiangalia...
Vipeperushi bila kuwa na udhibiti maalumu ni uchafu na sio Arusha tu sehemu yeyote ile. Utakuta vipeperushi vingine vinabandikwa holela mahali popote pale, kwenye nguzo ya umeme, ukutani wa nyumba ya MTU au barabarani kwenye kingo nknk . Huu ni uchafu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.