Recent content by sindicate

  1. S

    Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    CHADEMA kwa nn kujihangaisha na kusababisha gharama kwa Serikali hali mkijua mtashindwa c afadhali mkae kando nakujipanga upya msubiri hata 2020!
  2. S

    Kibajaji aeleza ufisadi mkubwa CHADEMA, awataka waondoe boriti machoni mwao

    Kwa Style hii tutakuwa na vyama vya siasa vya kuweza kuikosoa serikali kweli.......!!!
  3. S

    Kitabu cha visa na mikasa ya kesi maarufu duniani sasa kiko sokoni

    Father Dallu hana mapindo mapindo! Endelea kunyooka hivyo hivyo ww ni mtumishi wa Mungu hakuna kuangalia maslahi ya mabeberu wa Ulaya ama vibaraka wao. Well done Hon. Bishop.
  4. S

    Je, jumuiya za wakatoliki mitaani zinaruhusiwa kufanya siasa?

    Uchochezi sio mpaka uitukane Serikali. Ww nawe ni mchochezi _umbafu kabisa!
  5. S

    Waraka kutoka Iringa: Sababu za Tundu Lissu kumshambulia Rais Magufuli hizi hapa...

    Ho Hongera sana kwa ufafanuzi mzuri ili wanaotaka nchi isitawalike wajua Watz sio mbumbu. Bombadie tayari zinaingia Next week' Shame on them.
  6. S

    Jeshi la Polisi wametanda ofisi za CHADEMA kanda ya Pwani wanarusha mabomu

    Wapigwe tu. Umeambiwa usifanye hv na ww hutaki kutii unajifanya ww ni Ngarambe zaidi,tumechoka sasa na waziri mkuu alisema Wapigwe tu.
  7. S

    Halima Mdee: Kuna dhamira ya kutaka kumfunga Sugu

    Kwa hiyo ww ndo unashinikiza Mahakama isimfunge???
  8. S

    Magari ya abiria yakamatwa Chato, Madereva wachukuliwa na Polisi, abiria wakwama

    Kuounguza ajali lazima dereva ashikishwe Adabu kwa makosa ya ukaidi wa sheria, acha kulalama nchi inanyooshwa.
  9. S

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Ashughulikiwe wapo baadhi yao wanatumia Mwamvuli wa makanisa kufanya biashara haramu eg.Madawa ya Kulevya''
  10. S

    UVCCM wamtolea uvivu Alberto Msando, wamtaka awaombe radhi

    Sawa,lakini ujumbe umefika,atulie aache kukurupuka huyo dogo hii ni ccm huwezi kuropokea mkutano wa viongozi namna ile hadharani na huna wadhifa wowote. Msendo hovyo kabisa!!
  11. S

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Matokeo Rasmi Nyaseke-Geita. CCM Kura 302. CDM kura 81
  12. S

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Unahamasisha,hata ww ni CHADEMA"chukua panga. Nani hajui kama ni nyinyi kwa nyinyi kutafuta huruma wa wananchi, mtamalizana hata kura za huruma hampati.
Back
Top Bottom