Recent content by Sindano moja

  1. S

    JamiiForums Tanzania Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Tatizo rushwa,asiingenda Waziri,isingebomolewa,watu wangechukua Chao na kuondoka!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Bado maji hayajajaa????????
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

    Waziri wa fedha mradi awe mtiifu kwa Rais,na kila mara amtaje Rais huyo ndo anfaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Mbona nyumbani na Mitaani wanakotoka watoto unapigwa na watoto wanacheza?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Ni kweli Kuna viongozi hawatofaitishi kati Imani au maadili ya kidini na maadili ya jumla ya Mtanzania
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Vituo vya afya kweli mmjenga vingi,lakini sehemu zingine,wananchi wasita kuvitumia kutokana na gharama,mtu anaumwa kituo Cha afya Cha mpuguso huku Tukuyu kwa mfano,kumwona daktari eti 8000,mtu anasema Bora angenda moja kwa Moja duka la dawa nikanunue dawa za malaria tu,
  7. S

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

    Unafungulia tu mdomo?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

    Atalijua Jiji Sasa,*****
  9. S

    JamiiForums Tanzania Pongezi za Halima Mdee, Zitto na ACT Wazalendo, namuona Mdee aliibukia ACT 2025

    Kwani mdee ni mwanaume au mwanamke? Ana mtoto?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: January Makamba alitaka Trilioni 11 kuifumua upya TANESCO

    Za kula tu hizo,Tanesco ataiacha Kama alivyoikuta
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha Viongozi wateule leo Februari 15, 2023

    Madereva wengi hawazingatii Sheria ya ku-overtake,kwenye kona,kwenye mwinuko,wanaen dekeza mzoea mbona jana nilipita
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

    Bashe is too young mentally,and experience wise,to make sure the country have enough food and at affordable price
  13. S

    JamiiForums Tanzania BBC hawana reporter Tanzania, ajali ya ndege wana ripoti toka Nigeria

    Stephen Kikeke Yuko wapi?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania watu wa ajabu, wanapenda maendeleo lakini hawataki kugharamia hayo maendeleo kwa kodi

    Wewe unaona double taxation,ni sawa tu kisa zinajenga madaraka? Huko ndo kujikomba!!!! Sasa hivi unaoneka utakuwa utamaduni wa mta nzania " KUJIKOMBA"
Back
Top Bottom