Recent content by SinaMdaa

  1. SinaMdaa

    JamiiForums Tanzania Nini lengo la Elimu kwenye kizazi hiki

    Sawa mkuu kila siku ni kujifunza
  2. SinaMdaa

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimekufurahisha na kukufariji siku ya leo

    Kwa nini mkuu
  3. SinaMdaa

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimekufurahisha na kukufariji siku ya leo

    Habarini wadau. Kama ilivyo ada leo mapema asubuhi kichovu nikijongea stendi kudandia usafiri kuelekea kwenye mihangaiko ya kila siku, maana sikuizi unalala umechoka unaamka umechoka sijui labda ni mapambano ya kila siku bila kujali weekend ama laa! inapalekea tunakuwa wachovu kiasi hichi...
  4. SinaMdaa

    JamiiForums Tanzania Nini lengo la Elimu kwenye kizazi hiki

    Mkuu mi nazungzia hii formal education ambayo unamtaka mtu akae darasani almost 15 years ndio apewe bachelor
  5. SinaMdaa

    JamiiForums Tanzania Nini lengo la Elimu kwenye kizazi hiki

    Habarini wakuu, natumaini mu wazima. Moja Kwa Moja kwenye mada, Kadri siku zikienda najikuta hili swali liendelea kuwa na uhalisia,kwamba nini Lengo la formal education Kwa nyakati hizi ikiwa haitatui matatizo iliyopaswa kuyatatua . Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye udhubutu na maarifa ya...
  6. SinaMdaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

    Ewaah nimerudi kundini rasmi
  7. SinaMdaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

    Ndio Ms r labda kama utanitunuku cheo Cha Mr R
  8. SinaMdaa

    JamiiForums Tanzania Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

    Burudani kwa wote
  9. SinaMdaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

    Watakufa waliokubali kuwapambania
  10. SinaMdaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

    Sina salioo
  11. SinaMdaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

    Daslamu
  12. SinaMdaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

    Mfe wenyewe tu msije tuuwa
  13. SinaMdaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

    Kabisa hatuwaelewi kabisa
  14. SinaMdaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

    Salamu wanajamvi. Niende kwenye mada moja kwa moja. Tuishi nao kwa Akili, ni moja ya msemo uliotolewa kwenye maandiko na watu wengi hupenda kuutumia pale linapozungumziwa suala la kuishi na mwanamke. Mimi nawaza toafuti kidogo maana naona ukitumia Akili yako yote kuwaza na kuwazua jinsi ya...
Back
Top Bottom