Recent content by Sinah

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Kwa mwanamke anayetafuta mume tafadhari ni pm tuzungumze privately,mimi kwa kifupi ni mwajiriwa, na hold degree 1. uwe na umri kati 25-35 mengine nitakwambia ukija pm.Its serious no jokes pls
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa mwanamke aliyetayari kuolewa ila hajapata wa kuoana naye

    Ukijitoa kumpenda mtu na kumpa kila kitu, halafu huyo mtu akashndwa kujua jinsi gani anapendwa na wewe akakuumiza, hupaswi kujilaumu. Anapaswa yye kujilaumu kwa kukosa kusoma alama za nyakati kwamba anapendwa na mtu sahihi na anapewa mapenzi sahihi . Atakuja kujua baadae sana kwamba kuna mtu...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa dada aliyeokoka(naomba uwe mke mtalajiwa)

    Mungu akufanyie njia
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuachwa na msichana unaye mpenda kwa dhati

    yes bro!u have said the truth,ni kama unazungumza na mimi kibinafsi, nimefanyiwa ivo aisee, lakini poa maneno yako yamenifariji japo sijui hata nianzaje upya
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vibaya binti kumnunulia baba yake boxer?

    kununua zawadi kwa wazazi ni kitu cha kawaida, endelea kufanya ivo ila kununua boxer kwa ajili ya baba yako hilo na mashaka nalo
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa alichonifanya ....mimi namapenzi ndo baasi tena

    mh! pole tu
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    wanawake wanachangia pia,wengine wanasubiri kufanyiwa kila k2
Back
Top Bottom