Recent content by Sina Mia

  1. Sina Mia

    Ushauri: Nimempata ana mapenzi ya kweli ila ana watoto wanne

    Angalia uwezo wako wa kimaisha jee utayaweza kuyamudu kila siku na mzigo wa watoto hao lakin pia kweli hana tena mahusiano nao awo ambao walimtelekeza coz baadh ya dada zetu wakikumbushwa waliyoyafanya nyuma na swahiba mara huruma zinawajaa na wanajisahau pale walipo kwa sasa.Tafakari kabla ya...
  2. Sina Mia

    Nimepoteza matumaini

    Chuo na barua pamoja na kitambulisho cha chuo.
  3. Sina Mia

    Natafuta kazi jamani!

    Tutaamini vip kama unazo izo sifa za elimu ulizozitaja? Tunahitaji tuone vilelezo,ila samahani lakin mkuu.
Back
Top Bottom