Recent content by SIMU YA TOCHI

  1. SIMU YA TOCHI

    Uingizaji wa electronic devices (simu, laptop n.K) mpaka kibali kutoka TCRA?

    Kuna tetesi kwamba mtu akiagiza electronic device kama simu, laptop na vitu vingine kwa sasa kifaa hicho kikifika mnunuzi anapaswa kuomba kibali TCRA,mwenye kufahamu ili atujuze ni ukweli au propaganda?
  2. SIMU YA TOCHI

    KERO Tatizo sugu la maji Tabata, kila mara tunapewa ahadi za tatizo kuisha lakini hali ni ile ile!

    Kwa hali ya kusikitisha maeneo mengi sana ya Tabata yamekumbwa na tatizo la maji, ni zaidi ya mwaka lakini DAWASA imekuwa ikitoa majibu yaleyale kwamba watu wawe wavumilivu huduma itarejea. Wito waziri afike ajionee msoto wananchi wanaopitia, kuanzia Tabata maeneo ya viwanja vya benki, Segerea...
  3. SIMU YA TOCHI

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Kumbe uchizi nao ni kipaji kuna nyumba kama hii inayojengwa kwa miezi mitatu?
  4. SIMU YA TOCHI

    Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

    Tukae kwa kutulia tukiwa tunasubiri hotuba nzito ya Bawacha itayoenda kuligusa taifa letu
  5. SIMU YA TOCHI

    Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

    Ilikuwa yapata majira ya saa moja kasoro asubuhi,kama inavyoonekana kwenye video mitaa ya moshi ililindima kwa shangwe za baraza la wanawake wa CHADEMA.
  6. SIMU YA TOCHI

    Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

    Video wamama wa chadema wakiwa na shangwe siku ya wanawake duniani
  7. SIMU YA TOCHI

    Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

    Mitaa ya Moshi imefulika wakina mama wa chadema kutoka kona mbalimbali za nchi
  8. SIMU YA TOCHI

    Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Video na picha zikionyesha shangwe za wanafunzi baada ya msafara wa Tundu Lissu kupita wanaimba raisi raisi.
Back
Top Bottom