Me nna girlfriend kutoka usa, mara ya 1 kutoka out nikataka kulipa akakataa hvyo akalipa nusu nami nusu. Licha ya kulazimisha nilipe yote alikataa. Nikamwambia huku bongo wanaume ndo tunalipa, akanambia yexe si mbongo. Kwa hyo tumeshazoea kila tukitoka out wakat wa kulipa me namtania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.