Recent content by simpowtz

  1. simpowtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GOT

    Unaweza kuingia Google na bado ukawa hujaisanukia mzee kwanza naanzaje ukitafuta GOT ikiwa hii ni kifupi chake tu bado utakuwa ujaipata in deep
  2. simpowtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GOT

    Nakubali ila kwenye kuta kujua jambo usijifanye kila kitu unakifahamu mwenyew ongea mbele za watu uchekwe than ukifahamishwa pale hautosahau tena kwa aibu ulioipata
  3. simpowtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GOT

    Hii movie sijaielewa nimesikia watu wengi wakiizungumzia tweeter anaeifahamu basi aniweke apa
  4. simpowtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Big Match: Man Utd Vs Barca (Live Updates)

    Hii kauli imesikika sana leo kwa mashabiki wa red devil
  5. simpowtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Big Match: Man Utd Vs Barca (Live Updates)

    Nasikia hatoanza game ya leo??
  6. simpowtz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zari Ana mtoto wa 1988

    Yap kizaz anacho pesa anazo awalete tyu dunian
  7. simpowtz

    JamiiForums Tanzania Kazi na majukumu ya mama

    Mungu awaweke mahali pema wa mama wote waliotangulia mbele ya haki na walio dunian awalinde kwa kila kinga ya mabaya kw kuonyesha upendo wao kw watt zao mpaka kua mastaaa
  8. simpowtz

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nilifanya biashara yenye faida na Magufuli

    Uzaifu tu alionao ametusalit wapinzan bhana ama shavu alilopata nn
  9. simpowtz

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nilifanya biashara yenye faida na Magufuli

  10. simpowtz

    JamiiForums Tanzania Huu ni mchina,mturuki au mbelgiji?

    Ivyo vya mpito tyu miaka ya mbele hatutak Shep iyo tunataka modo sasa ww cjui utatoa izo nyama
Back
Top Bottom