Recent content by Simphorinyo

  1. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

    Tununu
  2. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli ni mgonjwa kufuatia mshtuko wa kifo cha mumewe Hayati Magufuli

    'Mama Siti angelikuepo karibu ningemuuliza Mama Janeth ndio nani vile!!?'
  3. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Kama hakufai mfate Jiwe kaburini akawe raisi wako
  4. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar ni ya waafrika au ni ya wazanzibari?

    Kuhusu elimu tunajidanganya, zanzibar huenda wako vizuri zaidi yetu.. Angalia illiterate rate kati ya Zanzibar na Tanganyika angalia pia rate ya wanafunzi waliopo Sekondari to general population, au idadi ya Universities per general popolation. Bado jamaa wanapata nafasi za scholarship nje...
  5. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

    SMZ inadaiwa kiasi gani? Au kwa kuwa Madam anatoka Zanzibar madeni ya serikali ya Zanzibar yanakua siri?
  6. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

    Inanyoosha akili, inasawazisha mawazo, inazalisha mipango, inakomaza msimamo na inasaidia kuwa na discipline katika matumizi...
  7. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

    Zantel wanaongoza kwa uonevu wamepunguza GB na siku za matumizi
  8. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Kipanya aibuka na Mawaziri baada ya Rais Mama Samia Suluhu Hassan kuanza kazi

    Au yule wa kupambana na nzige...
  9. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Tumuenzi Magufuli kwa kuirasimisha Magufuli Day

    Naunga mkono hoja, iwe siku maalumu tukumbuke matendo yake ya kihistoria... Tukumbuke mauwaji hasa kule Zanzibar na wizi wa kura aliyofanya siku za uchaguzi, waliotekwa kipindi cha uongozi wake, waliofukuzwa kazi, waliofilisiwa, walioibiwa fedha zao kwenye ofisi za kubadilisha fedha za kigeni...
  10. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

    Alipoteza muda, watu wakahama mazima na slogan 'alipo tupo'. Kabaki na dhambi ya usaliti, na alietarajia atamlipa ndio huyooo...
  11. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

    Prof. Lipumba sijui aliwahi kupokea malipo yake kwa kazi ya kuuwa upinzani!
  12. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; hali halisi ilivyo

    Anaweza akafanywa kama Farao, ikawa ni kivutio cha watalii na wanahistoria kama kiongozo wa nchi aliepingana na kanuni za afya...
  13. Simphorinyo

    JamiiForums Tanzania WHO yaiidhinisha Johnson & Johnson kuwa chanjo salama

    Are you serious? Do you have any idea about history of Pharmaceutical Industry?
Back
Top Bottom