Recent content by simonrajab

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na balozi mbalimbali nchini, kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa vienna?

    Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa IGP Camilius Wambura ni moja ya teuzi bora sana - heko kwa mamlaka za uteuzi

    Kalamu ya Chacha Wangwe Jr, Kila mtanzania mwenye uelewa wa mambo anayofuraha kubwa kutokana na uteuzi uliofanywa na Rais Samia katika kumteua CAMILIUS WAMBURA kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi. UZOEFU KATIKA MAJUKUMU MAKUBWA -Kamanda wa Polisi Mkoa Maalum wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Nukuu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuapishwa kwa viongozi Mbalimbali Ikulu Dodoma.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imekutana na Watoa Huduma za Mawasiliano Zanzibar katika kikao-kazi kilichojadili mikakati ya kuboresha utoaji huduma za Mawasiliano. Katika Kikao hicho timu ya TCRA iliongozwa na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TCRA Dkt. Mzee Suleiman Mndewa, aliyeambatana na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya TEHAMA Tanzania inatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la Wataalam wa TEHAMA

    "Mkutano huu wa Wataalam wa TEHAMA Nchini utakuwa sehemu ya kujadili utekelezaji wa sera ya TEHAMA Nchi pamoja na kukuza Wataalam wa TEHAMA, kukuza Makampuni makubwa na madogo ya TEHAMA kwa kuwaunganisha na Makampuni ya TEHAMA kutoka nje ya Nchi" Dkt Nkundwe Mwasaga
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya TEHAMA Tanzania inatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la Wataalam wa TEHAMA

    "Tume ya TEHAMA ni Chombo kilichundwa katika Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kazi kuu mbili, Kuratibu utekelezaji wa Sera ya TEHAMA ya Nchi pamoja na kuhakikisha tunakuza TEHAMA" Dkt Nkundwe Mwasaga Mkurungenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA @mwakilema
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya TEHAMA Tanzania inatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la Wataalam wa TEHAMA

    "Kama kawaida yetu sisi Tume ya TEHAMA kila mwaka tunafanya kikao kazi kujadili mafanikio, Changamoto na mambo mbalimbali yaliyojitokeza katika sekta ya TEHAMA lengo ni kuhakikisha Nchi yetu inakuwa katika Uchumi ya kidijitali" Dkt Nkundwe Mwasaga Mkurungenzi wa Tume ya TEHAMA
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya TEHAMA Tanzania inatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la Wataalam wa TEHAMA

    Mkurungenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA Dkt. @nkundwemwasaga akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana Kongamano la siku 3 la Wataalam wa TEHAMA Nchi litakalo fanyika Visiwani Zanzibar mwezi Oktoba 26 mpaka 28, Mgeni anatarajiwa kuwa Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt Hussen Mwinyi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya TEHAMA Tanzania inatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la Wataalam wa TEHAMA

    Tume ya TEHAMA Tanzania inatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la Wataalam wa TEHAMA Nchini kwa mwaka 2022 Visiwani Zanzibar, Mkutano huo ambao mambo mbalimbali yanayohusu maswala ya TEHAMA pamoja na kujadili mafanikio na changamoto za TEHAMA Nchini. @ict_commission_tanzania
  10. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Edward Hoseah katika utekelezaji wa ahadi 2021- 2022

    1. HUDUMA NA USTAWI WA WANACHAMA - Mpango wa Bima nafuu kutoka TZS 1,056,000 mpaka kufikia TZS 500,000 kwa mwanachama kwa mwaka. -Juhudi za kufanya mazungumzo na Mahakama kuhakikisha miundombinu rafiki kwa Mawakili wenye ulemavu katika majengo ya mahakama. - Kuwezesha jukwaa la Mawakili...
  11. S

    JamiiForums Tanzania ITV yalalamikiwa kuvuruga uchaguzi wa TLS, yadaiwa kumbeba Prof. Edward Hoseah

    TAASISI YA KITAALUMA KWA MAWAKILI Ni moja kati ya vipaumbele endapo nitachaguliwa kuiongoza TLS kwa mwaka mwingine kuimarisha Taasisi ya kitaaluma (Professional enhancement Institute) itakayoweza kuongeza weledi kwa Mawakili na kuwawezesha kufanya vizuri zaidi kimataifa. Mgombea Urais TLS...
  12. S

    JamiiForums Tanzania ITV yalalamikiwa kuvuruga uchaguzi wa TLS, yadaiwa kumbeba Prof. Edward Hoseah

    Jengeni hoja acheni kutafuta huruma na kutupa lawama zisizo na msingi
  13. S

    JamiiForums Tanzania ITV yalalamikiwa kuvuruga uchaguzi wa TLS, yadaiwa kumbeba Prof. Edward Hoseah

    Hawa ndo professionals wanaopiga kura
  14. S

    JamiiForums Tanzania ITV yalalamikiwa kuvuruga uchaguzi wa TLS, yadaiwa kumbeba Prof. Edward Hoseah

    MAWAKILI WAVUTIWA NA UWEZO WA PROF. HOSEA Baadhi ya Mawakili na wadau wa sekta ya sheria wamezungumzia uwezo wa mgombea uraisi Tanganyika Law Society TLS Prof. Edward Hosea. Wadau hao wameeleza kuridhishwa na uwezo wa kiuongozi aliouonyesha na kuwa anastahili nafasi hiyo kwa mara nyingine ili...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wavutiwa na uwezo wa Profesa Hosea

    Nguvu ipi!!!????
Back
Top Bottom