Recent content by simon1980

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania lazima tuhoji kuhusu michango hii inayochangishwa na CHADEMA

    Trump na biden wanaomba michango kwa wamarekani ndio ije kuwa Lissu ambae hana hata chanzo cha kumwingizia pesa?
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CCM itashinda kirahisi sana

    Shida za watanzania haziitaji uwe ns details za ndani ssna kwasababu zinafahamika
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kupoteza muda wangu kuangalia Ujinga uliopo Kwenye series ya money heist

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni nini kimeitokea CHADEMA? Tumefikaje huku kupost picha za 2015?

    Kwahiyo hata video zinazo tumwa pia huziamini[emoji849][emoji849]
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa waandaaji wa Kampeni za CHADEMA

    Kigezo cha kujaza watu kwenye mikutano haina maana wote watakupigia kura katika hiyo mikutano ya CCM pia kuna wafuasi wa chadema pia
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

    [emoji849][emoji849]uhuru wa habari upi .
  7. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu ni balaa, anajua kuwasilisha ujumbe kwa hadhira, anajua kukera kwa kukupiga na ukweli

    Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimyaa pia kutokujibu ni busara zaidi hivi kwa akili za kawaida wewe unaisi ni nani alihusika na kupigwa kwake lisasi?hivi unaitaji Degree kulijua hilo?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubuni jina la biashara

    Ndugu zangu nina mpango wa kuanzisha biashara yangu ya online retailer business sasa nataka kufungua co, ili niweze kuiregister na kupata license sasa shida ni jina humu ndani hamuwezi kushindwa kubuni jina atakayefanikisha hilo basi $250 jina litakalokuwa na mvuta wa kibiashara .
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA jijini Arusha kwa kushindwa kuita Wananchi kushuhudia ufunguzi wa barabara

    Sasa akawapate wapi jaffo acha zako arusha sio mji wa wajinga
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, Lema atamuomba radhi Tundu Lissu kwa hiki alichomfanyia?

    Haya ndio mawazo yenu sikuzote watu wa lumumba
Back
Top Bottom