Msaada wa kubuni jina la biashara

simon1980

Member
Jun 18, 2020
11
6
Ndugu zangu nina mpango wa kuanzisha biashara yangu ya online retailer business sasa nataka kufungua co, ili niweze kuiregister na kupata license sasa shida ni jina humu ndani hamuwezi kushindwa kubuni jina atakayefanikisha hilo basi $250 jina litakalokuwa na mvuta wa kibiashara .
 
Ndugu zangu nina mpango wa kuanzisha biashara yangu ya online retailer business sasa nataka kufungua co,ili niweze kuiregister na kupata license sasa shida ni jina humu ndani hamuwezi kushindwa kubuni jina atakayefanikisha hilo basi $250 jina litakalokuwa na mvuta wa kibiashara .
PM for serious business.

Nitakupa 5 suggestions to choose from.
 
Unadhani Facebook jina lao waliinga mtaani watengenezewe jina ? Au twitter au Samsung?

Ita jina lolote unalodhani limekusukuma uanzishe biashara yako. Kampuni haifanikiwi kwa uzuri wa jina ila huduma bora. Kuna kampuni inaitwa Milembe insurance kea akili l ya wabongo wengi hakuna mtu anaweza thubutu kuiita Kampuni Yake Hilo Jina ila wanapiga hela kuliko kampuni zenye majina mazuri.

Hiyo hela kunywa Bia ita kampuni yako jina la mwanao
 
Niliona mgahawa mmoja MCHAMBA WIMA RESTAURANT pale Kkoo mtaa wa Muhoro na Swahili , Waliifungua kwa kasi na mbwembwe za ajabu , sidhani km walimaliza miezi sita .. Sahizi naona ile ssehemu amemeigawa kati nusu Wamekuja wauza pikiki nusu yake kafunga ila mabango yake yapo nahisi kaenda kujipanga upya.
 
Unadhani Facebook jina lao waliinga mtaani watengenezewe jina ? Au twitter au Samsung?

Ita jina lolote unalodhani limekusukuma uanzishe biashara yako. Kampuni haifanikiwi kwa uzuri wa jina ila huduma bora. Kuna kampuni inaitwa Milembe insurance kea akili l ya wabongo wengi hakuna mtu anaweza thubutu kuiita Kampuni Yake Hilo Jina ila wanapiga hela kuliko kampuni zenye majina mazuri.

Hiyo hela kunywa Bia ita kampuni yako jina la mwanao
Nakazia simon1980
 
Hapana hakuna kitu muhimu Kama jina la biashara kwenye kufanikiwa biashara, na pia inawezekana kweli Facebook hawakuingia mtaani kutafuta lakini pia ujue kabla ya kulaunch hiyo Facebook walikuwa na wataalamu so sio kila jina pia ni score ya biashara lakini jina la biashara ni muhimu sana ko tusimbeze.
 
Back
Top Bottom