Recent content by Simon sinkala

  1. S

    JamiiForums Tanzania kero ya soccer jijini mwanza..

    ipo ligi kuu ya tanzania bara
  2. S

    JamiiForums Tanzania kero ya soccer jijini mwanza..

    Ni aibu kubwa sana kwa jiji la mwanza tukikosa hata timu moja ya kushiriki ligi kuu, hii inatokana na nfumo mbovu wa uongozi amboa unahitikadi za u-ilemela na u-nyamagana, pia mfumo mbovu wa uongozi ktk timu ya toto ambao una jari sana u-simba na u-yanga, tunamshukuru mkuu wa mkoa na kamati yake...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Misemo ya kale....

    Nilipokua mdogo nilikua naskia misemo iliyokua ikitumiwa na wahenga katika jamii na pia ilikua na maana zake..mfanomkono wa kulia ukiwasha......utatoa kitu/hela,Mkono wa kushoto ukiwasha...utapokea kitu/hela,Jicho la juu likicheza...kuna msiba,Jicho la chini likicheza....kunamgeni, sasa je...
  4. S

    JamiiForums Tanzania maajabu toto africa

    Mmmmh, sina hakika kama inaweza kua hivyo, kutakua kuna tim imedhamin pambano hapo
  5. S

    JamiiForums Tanzania maajabu toto africa

    Wana cheza na jkt, labda kama kuna tim kubwa imedhamini mpambano ili ije ilipwe fadhari siku ya game yao
  6. S

    JamiiForums Tanzania maajabu toto africa

    ukiskia kwenye msafara wa mamba na kenge wamo ndio hii, timu ya mpira wa miguu ya jijini mwanza toto africa, ipo katika hati hati ya kushuka daraja, wachezaji wana miezi kazaa neno mshahara kwao ni geni kabisa, leo hii wameokota pochi la mzungu, kwenda dar wamepanda ndege, wakati moja ya sababu...
Back
Top Bottom