Recent content by simon lunogelo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukuaji uchumi: Benki ya CRDB yapata faida ya shilingi 118bn

    Ukiona MTU anasifia kitu kwa kujitoa uelewa jua ya kuwa ana njaa ya kila kitu kwenye maisha yake na kwa kuwa ukweli unajulikana sisi tuliosoma tukaelimika tunajua uchumi umeshuka.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Kamtukana nani??
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maggid Mjengwa: Nape Hakwenda Na Midundo, Ilikuwa Ni Lazima Aondoke

    Ana njaa huyo ndiyo maana amishiwa pointi kwa hiyo kukosa nidhamu ni pale unashughurikia mambo ya ukweli umeishiwa mawazo sana unasema alivyotolewa uwaziri nidhamu imeongezeka kwani kuvamia clouds nidhamu iliongezeka au ilipungua
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo si vyeti- ni kuelimika

    Kama huna cha kuandika watu wakakuelewa acha maana itakuwa mjinga sana kuwaelimisha watu walioelimika na hill jambo lako.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Na bado itafahamika muda ukifika.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Yote haya yalitabiliwa tunasubiri.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    Njaa inawasubua mnazidi kujipendekeza.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 , kama ni lazima propaganda zenu zitolewe na RC basi tafuteni RC mwingine , huyu kaisha.

    Nilifikiri mwisho atasema vyeti vyangu ni hivi hapa kumbe anajisifia wakati hana sifa ni aibu kwa kiongozi kuto jibu tuhuma.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Inawezekana ana pepo ndiyo maana anaomba kuombewa na wachungaji na mashehe.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Cheti kina mahusiano gani na Richmond mbona umepaniki mwambie aonyeshe cheti ndiyo shida ya njaa umetumwa uandike hayo nenda kafanye kazi upate hela achana na umbea Wa kujipendekeza ili upate hela
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

    Mbona hamleti vyeti?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Nani anatunga sheria inaonekana huelewi majukumu ya raisi omba uelimishwe.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msanii namba 1 Afrika kwa sasa, Diamond Platnumz ajenga nyumba ya Ibada (Msikiti)

    Harafu acheni kusema msanii bora afrika huyo bado sana.
Back
Top Bottom