Recent content by simiyu1

  1. S

    SIBUKA fm huyu Mchambuzi wenu Kituko wa mpira Yusuph Kibai mmemuokota wapi?

    Asante GENTAMYCINE kwa kutoa yako ya moyoni umetusaidia sana. Tutarekebisha. Huyo mchambuzi ni Abbas Pira, siyo Hassan Kibai. Tutafuatilia uzoefu wa Mzee, ikibidi tuwe naye pia Sibuka FM kwani tumedhamiria kujiimarisha katika habari za michezo. Usimba na Uyanga ni jadi, Mfuga Njiwa na mwenzake...
  2. S

    Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

    Mjadala huu unaendelea hivi sasa Sibuka FM 94.5 Dar es Salaam... sikiliza Watanzania wasemavyo.
  3. S

    Waziri Mkuu aahirisha kuapa na Uchaguzi wa Mameya nchi nzima

    . Safi sana... Wapewe TOR na Performance Contracts kama Rwanda
  4. S

    Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

    Kwa kweli kimya cha viongozi wa CCM kuhusu yanayoendelea Ikulu kinatisha... kulikoni?
  5. S

    Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

    DC Makonda yuko sahihi, watumishi wa umma lazima wazingatie nidhamu... walikwishazoea hao. Magufuli kaza uzi, ikifika 2020, pengine tutafikia standards za Singapore. Ukidondosha ganda la ndizi mtaani Singapore, unalala ndani..
  6. S

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Tuwe wakweli. Kwa vile Uchaguzi Mkuu Zanzibar ulihusisha Uchaguzi Mkuu wa JMT kwa kufanyikia kituo kimoja, mawakala wakiwa ni wale wale kutoka vyama vya siasa na maofisa wa ZEC wakiwa ni wale wale kwa niaba ya NEC, mapungufu yoyote yenye uzito wa kufuta Uchaguzi huo kwa mujibu wa ZEC...
  7. S

    Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Asilimia zaidi ya 90 ni Wanachama na Wafadhili wa Chama chake. Swali.... Atawezaje?
  8. S

    Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Kama kuna ujanja na uhalifu Magufuli atawashughulikia tu.
  9. S

    Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Kuna uhusiano gani Kati ya hii kampuni inayofutwa na yule Balozi wetu mdogo Guanzou aliyekuwa anasaidia wafanyabiashara wa kitanzania huko?
  10. S

    Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    CHADEMA, mbona hakuna update za Tunduma leo? Mkutano ilifanyika kama Mbowe alivyoahidi ni leo asubuhi , au umeyeyuka?
  11. S

    Picha: ''Kufuru'' ya Magufuli katika uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar

    Sina uhakika kuwa mafuriko haya maana yake ni KURA. Taarifa zilizotoka jioni hii zinaonyesha kuwa Wapigakura katika Uchaguzi Mkuu unaosimamiwa na NEC huko Zanzibar (exclude unaosimamiwa na ZEC) hawazidi 50,000 kwa Unguja na Pemba. Big test kwa Muungano wetu.
  12. S

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Mzee, haya ni majira..kama ilivyokuwa East Europe miaka ya themanini, hayazuiliki mtamsingizia Lowassa bure.
  13. S

    Mwanza wamedhihirisha kwamba siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza

    Eti wanasema hakuna msukuma anayeitwa "Pombe"... angeitwa "Walwa"!
  14. S

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    Hawa wasanii au celebrities kutoka Dar licha ya kutojua hali halisi ya maisha ya hao watu wanaowahubiria huko vijijini wanawachanganya tu na kwa kiasi kikubwa wanawashangaa. Kwa vile kwao ni kibarua chenye mshiko kheri yao... uchaguzi umekuwa neema.
Back
Top Bottom