Recent content by simila

  1. S

    Waliokamata wezi wa sadaka KKKT Kariakoo wafukuzwa kazi

    Kwanza niwape pongezi watu wanaotaka ukweli sababu hata wa wa Kibwetere kule Uganda nao walikuwa wakahidi kama nyiyi. Pili napenda kusema Kanisa la KKKT lina Wachungaji wazuri sana na wacha Mungu, ila wababaishajinkama Mchungaji Kimaro ndio wanapaka wachungaji wenzao Matope. NAOMBA HOJA HIZI...
  2. S

    Waliokamata wezi wa sadaka KKKT Kariakoo wafukuzwa kazi

    Jamani dunia imekwiaha, kuna vijana hapa kanisani kwetu KKKT KARIAKOO mwaka jana walikamata baadhi ya wazee wakiiba sadaka, vijana hao walitumia technologia ya cctv camera kuwanasa hao wezi wa sadaka ambazo kila ibada ulikuwa ni mchezo wao. cha ajabu baada ya wezi hao kukamatwa na kuonyeshwa...
  3. S

    Waliohusishwa na shambulio la Igunga wafunguliwa kesi ya Ugaidi Tabora

    Nawapongeza viongozi wote wa CHADEMA kwa ushupambavu wenu na kuimiri mikikimikiki ya wadhalimu wa nchi hii jipe moyo wananchi tupo nyuma yenu mwishi wao umefika.
  4. S

    Naanza kuamini yalosemwa hapo zamani kuhusu Lema.

    Kutaja jina la tu la huyo kigogo unapata kigugumuzi, upepo wa kuwa kibaraka unakuandama wewe, pole sana mwenzako ridhiwani anabunya tu kaa na umbeya wako. Changamka na wewe mle kwa mwisho chadema wakiingia mifereji yote inakatwa.
  5. S

    Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Nimeamini hata ukisoma upumbavu kama upo upo tu CCTV inategemea na aina ya hiyo camera na setting, so nahic mwigulu na wewe mmezoea kuingia zile GUEST ZINAZOITWA hotel hiz ndio utaona zile Camera za CCTV zimesimama kama mnazi. mimi ni IT Nchemba namuomba aje tution kwa kuwa ni kaelimu kadogo...
  6. S

    Msanii Soggy Doggy ajiunga CHADEMA

    Ndani ya CHADEMA kubalika na wanachama tu utapata uongozi awaangilii baba ana pesa kiasi gani au mama yako suala ni kuajibika kwa wananchi mambo ya kununua uongozi waachie CCM. NAKUPA KAZI ZA KUFANYA UKIWA MBUNGE WA SEGEREA VUNJA NYANTARE BAR PAMOJA NA ILE SHELI NI SEHEMU YA SOKO MAKANGORO...
  7. S

    Kauli tata za Mh. Pinda tangu alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

    Jamani siku hizi wameanza mchezo ukisema ukweli wata.......................ndio maana pia akatoa kauli hiyo ili kudhibiti wasema kweli.
  8. S

    Picha: MTANGAZAJI JOYCE KIRIA AOMBA AFAHAMISHWE ALIPO MUMEWE HENRY KILEO..

    Wacha upuuzi natamani nikuone wa rangi gani kwani kudai haki yake kwa mgongo wa wanawake kosa lake nini? UMETUMWA NINI? AU NA WEWE NI MMOJA WA WALIOMCHUKUA ACHA KUWA KIBARAKA WA WATU UTAENDELEA KUWA MTUMWA MPKA KIAMA. Dada pigana mpaka wakwambia kama vipi omba msaada kwa watu kama sisi tutakusaidia,
  9. S

    Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Nataka niwatangazie tangu Said ashtukiwe kariakoo imetulia kwa kupaki olela magari yake kwani kabla alikuwa anapaki anavyotaka magari yake na kuziba njia kariakoo nzima bila kuchukuliwa hatua zozote. sasa kariakoo safi gari zake hazizibi tena njia.
  10. S

    Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Jamani habari ya Said si ya uongo, kwani wafanyabiashara wote wa kariakoo polisi na TRA wakiwakamata na mzigo wakisema mzigo huu unatoka kwa Said wanaachiwa lakini wakisema vinginevyo sero ya msimbazi polisi ya kwako au utoe rushwa ndevu, manake wakubwa wote wanajuwa habari za said, kwa hiyo...
Back
Top Bottom