Recent content by Simchezo

  1. Simchezo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

    Makongoro Nyerere alikuwa mzaliwa.wa Arusha, Felix Mrema?, Godless Lema?, Gambo?
  2. Simchezo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenyeji wa Mikoa ya Kaskazini Wana Haki ya Kuongoza Majimbo Yao

    Acha ukabila....
  3. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge Gambo mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto

    Na Gambo alikuwa anamdhalilisha Lema...
  4. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Kagame anataka DRC iwatambue waasi wa M23 lakini yeye hataki kuwatambua waasi wa kihutu!

    Je unajua nini waasi wa kihutu hao unaowasema ( FDRL) kitu Walichowahi fanya Rwanda? Na bado mango wao ni kurudi Rwanda na kurudia tena, hata mimi nisingekubali...
  5. Simchezo

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Mkuu usifananishe Comoro na Rwanda...
  6. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Wakili Bashir Yakub: Kisheria sio kosa mtu kuchoma mali yake

    Ameikosesha serikali kodi kutokana na kuweka mafuta , spea, tairi....
  7. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

    Hiki kitabu kipo tayari sokoni?
  8. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Kuna mradi uliwahi kusainiwa ijengwe reli kutoka mandarin ya Tanga eneo la mwambani hadi Musoma kupitia Arusha, then Musoma mizigo inachukuliwa na ferry katika ziwa Victoria kwenda Uganda...
  9. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Inaweza kuunganishwa na bandari ya Tanga iende Kilimanjaro, Arusha hadi Uganda.....
  10. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

    Askari magereza ni hatari sana magerezani, kwa hali ilivyo usiombe wewe Polisi upate kesi halafu upelekwe gerezani kama mahabusu au mfungwa...hawa jamaa ni hatari...
  11. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

    Hakuna tatizo lolote, anapost picha za kawaida tu na bado ni kijana...acha wivu...
  12. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Hivi Madaraka Nyerere ameona kitu cha kulindwa ni jina la Mwalimu Nyerere, na si falsafa zake?

    Familia ya Nyerere haipendi mtu type ya Steve atumie jina lao kutokana na tabia za Steve za uchawa uliopitiliza, huyu jamaa ana kiherehere sana...
  13. Simchezo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

    DP President Kenya ameondolewa na system ya serikali sio utashi wa bunge!! Hata hapa Tz system ikikukataa unaondoka mfano Lowasa. Kwa hiyo Gachagua kaondoka sio kwa utashi wa bunge wala wananchi ila serikali yenyewe.
Back
Top Bottom