kwa upande wangu nahisi wewendio hauna angalia sirabu zako zipo sawa sawa au mwl wako wa kiswahili alipiga kanyaga twende.................................
elimu ya KKK
KUSOMA
KUANDIKA
KUHESABU
naona kuandika kwako ni shida jipime kwanza inawezekana hata kusoma napo hujahelewa mada
ni HAKIRI...
hivi nyie ambao hamuoni kama usalama unakuwa mdogo mpaka watekwe baba zenu au mama zenu ndio muone umuhimu wa kusema ukweli kwa huyu mtukufu wenu...........?????
sio kwamba hamjui sema mnajiendekeza tumieni akili acheni use****
KWA WANAOSEMA HILI SWALA HALIWEZEKANI NAOMBA WANIAMBIE KWANINI CIA NA WENGINE WAMEWEZA NA SISI TUSHINDWE..............................????
KAMA BUNGENI WATAACHA UCHAMA NA KUSSEMA KAULI MOJA LAZIMA WANYOOKE WAZEE ILA KAMA WATAWEKA U CCM NA UPINZANI...
Nimeshindwa kukaa kimya nimeamua na mimi kusema ya moyoni
ni kweli zama zinabadilika tulikuwa na mwl Nyerere tumepita kote huko kwa sasa tumeangukia hapa tulipo
kutokana na uzoefu wangu wa kuijua idara ya usalama ni idara imara sana katika taifa letu na hata watumishi wake walijengwa kwa misingi...
Kwani lazima uwe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kuna kuku nyingi za kufuga pamoja na nguruwe njoo huku ufurahie maisha mambo ya kusemwa na unafanya madudu kisha mwanaume mwenzio anakukingia kifua ndio unakuja kuzua maswali ya chumbani sasa.
HATUWEZI KUPATA MABADILIKO KATIKA NCHIYETU HII KAMA HATUTAKUWA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NA KAMA MNAELEWA WAKATI YULE JAMAA AMBAYE LEO NI MSEMAJI WA SISIEM ALIKUWA ANALIA SANA NA KATIBA MPYA LEO HII ANAULIZWA SWALI LA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI ANASEMA KWAMBA KWA SASA WANASHUGHULIKIA...
HATOPONA MTU KWA MIAKA MITANO HII
ALIANZA NA WANASIASA
AKAJA NA BUNGE LIVE KAPIGA WABUNGE
AKAJA NA WATUMISHI
AKAJA NA WAAANDISHI
AKAJA NA MITANDAONI BADO HAJAMALIZIA VIZURI KWANI BADO MNAFANYA SIASA ZA MITANDAO
JUZI KAWEKA UKUTA KATI YA WAWAKILISHI YAANI WABUNGE WA SISIEM KULIA NA UPINZANI...
1.kuna watu walimtabiria kifo mhe lowassa hawajakamatwa na wala hawajanyimwa dhamana na mpaka leo wapo uraiani wanakula maisha japokuwa wengine wametangulia wao kwanza.
2.kuna watu walitukana waziwazina viongozi wakubwa sana ila mpaka leo wapo wanaishi kwenye mahekalu yao.
3.hivi karibuni...
MWENYEZI MUNGU amtetee katika hili ili haki yake isipotee.
msikate tamaa wanachama wa chadema naamini MWENYEZI MUNGU yupo upande wa mtu mwenye haki hata kama itachelewa ila itapatikana tu.
haya haya kashaanza na huku kama walivyotabiri wataalamu wa mambo
Mwenyezi Mungu amlinde mkurugenzi wetu na ampe ujasiri wa kusimamia kile ambacho anaamini kwa manufaa ya watanzania wote.
UKWELI NI KWAMBA SERIKALI YETU BADO HAIJAWEKA MSISITIZO KATIKA PREVENTION HATA KAMA UKUANGALIA BAJETI YETU YA AFYA HAINA MASWALA YA PREVENTION HAYAJAPEWA KIPAUMBELE LAKINI TUKIJA KWENYE MATAMASHA YETU YA KIAFYA NDIO WA KWANZA KUSEMA KINGA NI BORA KULIKO TIBA
SWALA LA KIPINDUPINDU KATIKA MIKOA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.