Mbona huyu Mwandosya hakusema Kitine ambaye pia alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa alipokuwa Waziri katika serikali ya Mkapa? Na hao wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ambao ni wanajeshi wastaafu je? Mbona hawasemi? Tatizo hapa ni hofu kuwa Mwandosya hata afanyeje hatakuwa Rais. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.