Dr Peter Slaa, usije ukadhubutu ku boycot bunge, utakuwa umewapa zawadi kama ile ya Maalim kutuitambua serikali ya Amani, mpaka mwaka wa mwisho wa amani maalim alivutwa pembeni, akapewa mfupa, sasa mambo poa znz, lakini kwa miaka 9 amani alifanya alichokitaka.
Dr kama vipi wewe ni binadamu...